vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Umri wako? Upo wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ondoka huko nenda Dar, Kuna viwanja vingi vya majaribio kaanzie hapo. Kama una ndugu Dar muombe akupokee na kukuhost ukapambanie ndoto yako, Vipaji ni vingi sana mtaani, unahitaji sehemu ukaonekane si humu kwenye mtandao mdogo wangu.Miaka: 26
Kitambulisho cha NIDA: Ndiyo ninacho
Height: 163cm
Elimu: Degree
Mkoa ninaoishi: Kigoma (ila naweza kuondoka hivi karibuni na kwenda Dar es Salaam)
Mkuu hapo kwenye 'Clip' mpaka nijipange (uchumi umenikwamisha sana kwenye vitendea kazi).
Sent using Jamii Forums mobile app
Umri mbona kama ushakuacha.Miaka: 26
Kitambulisho cha NIDA: Ndiyo ninacho
Height: 163cm
Elimu: Degree
Mkoa ninaoishi: Kigoma (ila naweza kuondoka hivi karibuni na kwenda Dar es Salaam)
Mkuu hapo kwenye 'Clip' mpaka nijipange (uchumi umenikwamisha sana kwenye vitendea kazi).
Sent using Jamii Forums mobile app
S8JF unaingia kwa kutumia kifaa (device) Gani?
Nimeshaanza mkuu, japo bado nina safari ndefu kidogo ya kuonekana.je unajihusisha na timu za hapo mtaani kwako?.
Kwa kucheza mtaani yaweza kuwa rahisi kuonwa na Mtu/Watu na wakaweza kukunadi kwa Wahusika...na ukinadiwa na Mtu au Watu itakuwa rahisi sana kuitwa kuliko kujinadi mwenyewe.
Ingawa hiyo haiondoi ukweli kwamba kama kipaji unacho unacho tu, wanasema Pembe ya Ng'ombe haifichiki...jitahidi kujichanganya kila kulipo na Kiwanja wanapocheza mpira ili Wadau wakuone.
Kwa miaka 26 na Bado ujatoka duh angalia mishe nyingineMiaka: 26
Kitambulisho cha NIDA: Ndiyo ninacho
Height: 163cm
Elimu: Degree
Mkoa ninaoishi: Kigoma (ila naweza kuondoka hivi karibuni na kwenda Dar es Salaam)
Mkuu hapo kwenye 'Clip' mpaka nijipange (uchumi umenikwamisha sana kwenye vitendea kazi).
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana dada yangu.Ondoka huko nenda Dar, Kuna viwanja vingi vya majaribio kaanzie hapo. Kama una ndugu Dar muombe akupokee na kukuhost ukapambanie ndoto yako, Vipaji ni vingi sana mtaani, unahitaji sehemu ukaonekane si humu kwenye mtandao mdogo wangu.
Kila la heri.
Sasa mtu akikuomba video clip si umpe mshikaji akurekodi ?
Acha tu ndugu. Toka kipaji changu kionekane, nililazimika (na kulazimishwa) kugeukia masomo mpaka namaliza chuo.Kwa miaka 26 na Bado ujatoka duh angalia mishe nyingine
Nilipokea mawazo yote ya wadau. Ila hivi vitu sio vya kukurupuka.Sasa mtu akikuomba video clip si umpe mshikaji akurekodi ?
Nenda hata wanakofanya mazoezi vijana jiunge nao mtu aku rekodi
26, Kigoma.Umri wako? Upo wapi
Morogoro sina watu wa kuwafikia kwa sasa. Nitafuatilia lakini. Ahsante.Kwa huo umri unatakiwa uwe na kipaji kikubwa hasawa
Nenda mtibwa huwa mara nyingi km unauwezo hawakuwchi
Shukrani mkuu! Hiyo ni mojawapo ya ajenda zangu nikija Dar.Tumia vizuri mashindano ya ndondo cuo ukija dar. Ila pia wakatiligi inapokwisha kusubiri msimu mungine timu nyingi sana zinaruhusu wachezaji kwenda kufanya majaribio.
Kwa umri ulionao wa miaka 26 ili utoboe unatakiwa uwe na kipaji extra ordinary ili uingie moja kwa moja kwenye nbc premier ligi. Yaani uwe na kipaji kuzidi kina ndemla, ambundo, kibu na wengineo.
Kila la kheri.
Habari wadau wa Jamii Sports?
Nina ombi moja kwenu.
Mimi ni kijana Mtanzania mwenye kujituma, mwenye nidhamu na mchapakazi. Ninaandika ili kuonyesha nia yangu ya kuomba nafasi ya kuichezea klabu yoyote inayoshiriki Ligi kuu ya NBC, kwa nafasi ya "Mid fielder" au "Defender". Nipo tayari kusajiliwa na klabu yoyote na kuanza kuchezea kikosi chochote.
Nilipokuwa form 3 nilicheza katika timu iliyofanikiwa kutwaa ubingwa katika mashindano ndani ya shule yangu. Wengi walikubali sana kipaji changu hadi baadhi ya wanafunzi wenzangu waliniita freemason kwa kunionea wivu, maana nilikuwa nikicheza kwa umakini, nidhamu na ustadi wa hali ya juu uwanjani.
Bahati mbaya familia na marafiki hawakuniunga mkono tokea hapo awali, hivyo nililazimika kuendelea na masomo. Wote niliowahi kuwashirikisha kuhusu shauku yangu ya kucheza mpira hawakunipa nafasi wala kunisaidia kiuchumi au kulea kipaji changu.
Lakini sijakata tamaa mpaka sasa. Nina ndoto ya siku moja kuichezea klabu mojawapo nchini hadi kutwaa kombe la klabu bingwa Afrika, pamoja na Taifa Stars (timu ya Taifa) hadi kufanikiwa kutinga katika timu zitakazocheza kombe la dunia 2026.
Natumaini kuwa wahusika mtanipokea na kunipa nafasi katika klabu. Pia, natumaini kuwa wenye connection mtazingatia na kuni'recommend kwa wahusika. Nami nitakubali kuwa chini kufundishwa, kuelekezwa na kushirikiana vizuri na wachezaji wenzangu ili kipaji changu kiweze kukua zaidi, nami niweze kucheza na kufanikisha malengo ya klabu.
Ahsanteni sana wakuu kwa kuzingatia.
Mawasiliano:
0743744471
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante ndugu yangu.Utafika tu, nenda taratibu,
Una miaka mingapi ?Habari wadau wa Jamii Sports?

Nina miaka 26.Una miaka mingapi ?
Height yako ikoje ?
Uko mkoa gani ?