Jamaa acha izo. Yani mwaka jana ulihitimu kidato cha nne, mwaka huu umeomba mikopo ya diploma HESLB, mwaka huu umeshahitimu kozi hiyo na unaomba mahala pa kujitolea ! Acha ujanja kaka.
Rejea humu : 👇
Je chuo cha Tanzanian international training health center kilichopo ifakara ni kizuri kwa KOZI ya diploma in clinical optometry NTA LEVEL 4 TO 6 nahitaji muongozo wenu
www.jamiiforums.com
Hii ni dalili ya kupunguza watu wa mikopo ya elimu ya juu na diploma kwa namna fulani hivi,haiwezekani unaleta mfumo watu wako uliowachagua hawajui kama mfumo ni mpya basi toa mafunzo mwaka mzima sio unatoa mafunzo juju halafu zoezi la kuapply mikopo ni miezi tu
www.jamiiforums.com
Kwenye maombi ya mkopo helsb niki login narudi pale pale home yani mfumo hufunguki kwa ajili ya kujaza taarifa nyingine
www.jamiiforums.com
Nashindwa kufanya application ya mkopo shida nini muda huu ni mtandao au ,naombeni mwongozo wenu wakuu
www.jamiiforums.com
Heslb 2025 2026
N.k
Hiyo kozi madili ni mengi sana yapo tele, nikashangaa jamaa gani tena huyu mwenye diploma hiyo ya optometria anayeomba mpaka kujitolea BURE optometry kama vile yeye amesoma BURE ? kumbe hamna lolote ni mbwembwe za huyu jamaa tuu. Achaaaaaah !!!!