Natafuta namba ya msaidizi wa Makonda.

Natafuta namba ya msaidizi wa Makonda.

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
20,189
Reaction score
29,663
Kuna utapeli mkubwa unafanyika na serikali ipo kimya. Tena utapeli wa kutumia idara za serikali. Nina ushahidi wote wa namba za wahusika. Naomba mwenye namba ya msaidizi wa Makonda ili nimtumie ushahidi wote na nyaraka za kufoji.

Tumepeleka taarifa polisi tangu February 2024, ila utapeli unaendelea na ni kama polisi wameingia kwenye payroll ya huyo tapeli.

Makonda ndio aliyebakia kuwasaidua wahanga ni kama huu utapeli unahusisha Viongozi wa serikali ndio maana hawachukui hatua.
 
Yupo mkurugenzi mmoja sijui katibu kata aliambiwa na makonda kuanzia leo utakuwa msaidizi wangu,

But Makonda ni system naamini namba yake hata ukiingia website ya juu huko itakuwepo.

Aise na mm ninayo, just come PM
 
Nimtumie tu PM
 
Vizuri uandike attach vielelezo halafu mrushie kwenye Whatsapp usimpigie

Anakuwa busy sana .Akitulia atasoma na akihitaji ufafanuzi atakutafuta akiwa na nafasi
 
Vizuri uandike attach vielelezo halafu mrushie kwenye Whatsapp usimpigie

Anakuwa busy sana .Akitilia atasoma na akihitaji ufafanuzi atakutafuta akiwa na nafasi
Asante. Nitafanya hivyo.
 
Back
Top Bottom