BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Wadau ninateswa na chwa kwenye site ambayo ninaendelea na ujenzi. Nyumba bado haijaisha ili watu kuhamia lakini ghafla wamejitokeza mchwa na kusababisha vishimo shimo ndani ya vyumba 2. Baadae tukagundua kuwa unatokea kwa nje ambako kuna onekana pia kuna mashimo ya kichuguu. Na tangu awali sehemu hii haikuuwa na uwepo wa MCHWA Wala kichuguu.
Naomba km kuna mtu amewahi kupambaba na hawa wadudu na kuwaua au kuwafukuza aniambie dawa aliyotumia. Au km kuna mtu anajua dawa (sumu) ya kuwateketeza au kuwakimbiza anisaidie jina la hiyo dawa.
Natanguliza shukrani.