BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Rungu!Wadau ninateswa na chwa kwenye site ambayo ninaendelea na ujenzi. Nyumba bado haijaisha ili watu kuhamia lakini ghafla wamejitokeza mchwa na kusababisha vishimo shimo ndani ya vyumba 2. Baadae tukagundua kuwa unatokea kwa nje ambako kuna onekana pia kuna mashimo ya kichuguu. Na tangu awali sehemu hii haikuuwa na uwepo wa MCHWA Wala kichuguu.
Naomba km kuna mtu amewahi kupambana na hawa wadudu na kuwaua au kuwafukuza aniambie dawa aliyotumia. Au km kuna mtu anajua dawa (sumu) ya kuwateketeza au kuwakimbiza anisaidie jina la hiyo dawa.
Natanguliza shukrani.
😳🥴Mchwa kwa Dar imekuwa changamoto haswa.
Umenikumbusha dudu baya a.k.a oil chafuunganisha mpira wa maji kuelekea kweny mashimo yao maji yakiingia wanashindwa kuazaana au mimina oil chafu
Nitashukuru sana km utanitumia picha ya hiyo dawaKuna dawa maduka ya pembejeo zinauzwa 5000-7000 unanunua na pump ya 10k unachanga unapuliza vilivyo utawaweza.
Takutumia picha ukihitaji au kama utakosa.
Kuna maeneo mengi hasa viunga vya chanika kuna nchwa
Poa ila siko home sasa . Mpaka nirudiNitashukuru sana km utanitumia picha ya hiyo dawa
Tafuta dudukiller ya unga, changanya maji, mwaga kwa kichuguu. Kwisha habar yaoWadau ninateswa na chwa kwenye site ambayo ninaendelea na ujenzi. Nyumba bado haijaisha ili watu kuhamia lakini ghafla wamejitokeza mchwa na kusababisha vishimo shimo ndani ya vyumba 2. Baadae tukagundua kuwa unatokea kwa nje ambako kuna onekana pia kuna mashimo ya kichuguu. Na tangu awali sehemu hii haikuuwa na uwepo wa MCHWA Wala kichuguu.
Naomba km kuna mtu amewahi kupambaba na hawa wadudu na kuwaua au kuwafukuza aniambie dawa aliyotumia. Au km kuna mtu anajua dawa (sumu) ya kuwateketeza au kuwakimbiza anisaidie jina la hiyo dawa.
Natanguliza shukrani.
Mkuu kwanza pole na pili nimeona comments za wadau humu lakini kwakipendekeza madawa mbalimbali Lakini Kwa ufupi TU ni kuwa sio Kila dawa inafaa Mahali popote.Wadau ninateswa na chwa kwenye site ambayo ninaendelea na ujenzi. Nyumba bado haijaisha ili watu kuhamia lakini ghafla wamejitokeza mchwa na kusababisha vishimo shimo ndani ya vyumba 2. Baadae tukagundua kuwa unatokea kwa nje ambako kuna onekana pia kuna mashimo ya kichuguu. Na tangu awali sehemu hii haikuuwa na uwepo wa MCHWA Wala kichuguu.
Naomba km kuna mtu amewahi kupambaba na hawa wadudu na kuwaua au kuwafukuza aniambie dawa aliyotumia. Au km kuna mtu anajua dawa (sumu) ya kuwateketeza au kuwakimbiza anisaidie jina la hiyo dawa.
Natanguliza shukrani.