Natafuta ng’ombe wa maziwa pure breed

Asante sana. Asas wamesimamishankuuza miyamba yao wapo kwenye maboresho. Then bei zao zimesimama 3.5 hadi 4 kwa mtamba

Je hyo breed uliyosema hauuzi inatoaje maziwa kwa wastani?
Kwa style uliyosema 70% ni management hapa nimekuelewa vyema. Mungu akubariki.
 
Nilimnunua kwa mzee mmoja hv akiwa ndamView attachment 2522763
 
Ushauri mzuri sana,
Hapo mwisho ndio umeharibu.
 
Habari zenu wadau

Katika kutafuta maisha nmeamua kuanza ufugaji wa ngombe wa maziwa lakini sasa kupata pure breed anayetoa angalau 25 litres per day imekuwa changamoto.

Nimeshapigwa mara 2.

Naombeni mwenye connection na hawa ngombe aniunganishe
ukitaka pure breed lazima uenda ukanda wa baridi kama nyanda za juu kusini magharibi...mbeya, njombe, iringa na rukwa.. possibly Arusha pia. Ukiwa dar lazima upigwe tu maana hawapo, pure breed hawezi kustahimili joto
 
Habari zenu wadau

Katika kutafuta maisha nmeamua kuanza ufugaji wa ngombe wa maziwa lakini sasa kupata pure breed anayetoa angalau 25 litres per day imekuwa changamoto.

Nimeshapigwa mara 2.

Naombeni mwenye connection na hawa ngombe aniunganishe
Nitafute kwa namba 0756416149
 
Mkuu kuna group moja la wafugaji wa ng'ombe wa maziwa Tanzania
Hiki unachoomba ni kidogo sana
Nakutumia namba ya Admin wa group hilo la whatsup
Ukifanikiwa kuungwa utakuja kunishukuru hutojuta
+255 629 613 326
 
Habari zenu wadau

Katika kutafuta maisha nmeamua kuanza ufugaji wa ngombe wa maziwa lakini sasa kupata pure breed anayetoa angalau 25 litres per day imekuwa changamoto.

Nimeshapigwa mara 2.

Naombeni mwenye connection na hawa ngombe aniunganishe
Inawezekana mkuu.
Nitafute nikuelekeze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…