Natafuta ng’ombe wa maziwa pure breed

Natafuta ng’ombe wa maziwa pure breed

Ana mimba ya mwezi 1 View attachment 2525031
IMG_20230221_135607.jpg
View attachment 2525033View attachment 2525034View attachment 2525032
 
Mkuu kuna group moja la wafugaji wa ng'ombe wa maziwa Tanzania
Hiki unachoomba ni kidogo sana
Nakutumia namba ya Admin wa group hilo la whatsup
Ukifanikiwa kuungwa utakuja kunishukuru hutojuta
+255 629 613 326
Link
 
Ninauza mbegu za nyasi za ng'ombe, mbuzi na kondoo.Mbegu za Juncao na Super napier.
Nyasi zake zina protini 18% na virutubisho vingine vingi.
Eka moja ya Juncao na Super napier ukiitunza vizuri unaweza kuvuna nyasi za kulisha ng'ombe 15 kwa mwaka.

0756625286.
Mkuu, Juncao na super napier ni jamii moja?
 
Mkuu, Juncao na super napier ni jamii moja?
Zote ni
Jamii ya napier,zinafanana zote ni hybrid tofauti yake ni ndogo.Juncao ilifanyiwa utafiti China na Super napier ambayo inajulikana pia kwa jina la Pakchong 1 ilifanyiwa utafiti nchini Thailand.
 
Nawasalimuni kwa jina la Mungu, niwapongezeni nyote mnaotusaidia kutuelimisha ktk ufugaji huu.
 
Pia Mimi ni mtalamu wa kutengeneza silage Kwa mihogo unachoitaji ni mti wa mihogo tuh nadhani tunaweza kubadilishana elimu
Mkuu salama, naomba utupe elimu kidogo ya silage ya Mihogo, nitashukuru saana kwani wengi tutafaidika
 
Back
Top Bottom