Natafuta ng’ombe wa maziwa pure breed

Mkuu kuna group moja la wafugaji wa ng'ombe wa maziwa Tanzania
Hiki unachoomba ni kidogo sana
Nakutumia namba ya Admin wa group hilo la whatsup
Ukifanikiwa kuungwa utakuja kunishukuru hutojuta
+255 629 613 326
Link
 
Mkuu, Juncao na super napier ni jamii moja?
 
Mkuu, Juncao na super napier ni jamii moja?
Zote ni
Jamii ya napier,zinafanana zote ni hybrid tofauti yake ni ndogo.Juncao ilifanyiwa utafiti China na Super napier ambayo inajulikana pia kwa jina la Pakchong 1 ilifanyiwa utafiti nchini Thailand.
 
Nawasalimuni kwa jina la Mungu, niwapongezeni nyote mnaotusaidia kutuelimisha ktk ufugaji huu.
 
Pia Mimi ni mtalamu wa kutengeneza silage Kwa mihogo unachoitaji ni mti wa mihogo tuh nadhani tunaweza kubadilishana elimu
Mkuu salama, naomba utupe elimu kidogo ya silage ya Mihogo, nitashukuru saana kwani wengi tutafaidika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…