Natafuta Nyumba Ndogo wa kusaidizana kimaisha na kimapenzi

Natafuta Nyumba Ndogo wa kusaidizana kimaisha na kimapenzi

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
I am a married man 40years of age, looking for "nyumba ndogo" with the following qualities,

1. A graduate with at least 25 years, asiye na wivu wa mapenzi bali wa maendeleo
2. Awe mrembo wa kawaida na anayefanya kazi sitaki madenti
3. Mwenye idea za kibiashara maana lengo langu hasa ni kuongeza wigo wa kipato
4. Awe tayari kuwa nyumba ndogo na kuheshimu nyumba kubwa

Kama una sifa hizo niPM with your mobile number niko serious so serious applicants ONLY are encouraged to apply
NB: Lengo langu ni kutoa dhana ya kuwa nyumba ndogo are there to spend but for me nataka nyumba ndogo inisaidie kuongeza kipato hata kwa kufungua biashara za kama M-Pesa's na kutanua iwe sehemu ya kufurahia mafaniko tutakayopata.
 
Mmmh.... Albert!!!!

Umeomba ruhusa kwa dadangu kuhusiana na kutaka kuwa na Small house??
 
Albert....wasikutishe..###..mke wako akiambiwa...utasingizia ni ya kesho(fools day).....kanyaga buti
 
Mmmh.... Albert!!!!

Umeomba ruhusa kwa dadangu kuhusiana na kutaka kuwa na Small house??

Call me El Torro please and not any other names, sijaomba ruhusu ila hii ni siri na lengo hasa natafuta mchakarikaji awe business partner tuongeze kipato pamoja na tufaida mafanikia kwa kushare mapenzi pia.
 
Kuongeza kipato au kutumia ulicho nacho? Kila la heri, ila mama nani mbona ungemshirikisha ingekuwa busara zaidi?
 
Una kifua lakini cha kupambana na nyumba ndogo/mpango wa kando??
 
hapo pa nyumba ndogo iheshimu nyumba kubwa, kama huyo mwanamke unayemtaka anaweza hadi kusaidiana nawe kutafuta na na ana hadhi pia ya kutanua kama aliyonayo mkeo,kwanini pande zote mbili zisijifunze kuheshimiana?
nikimaanisha nyumba kubwa ihehimu nyumba ndogo na nyumba ndogo iheshimu nyumba kubwa.

Utofauti wa wanawake hao wawili ni kuwa mmoja umemuoa na huyu mwingine either dini hairuhusu au uwezo au mke hakubali ndo maana huwezi nae kumuoa lakini ana maana kubwa sana kwako.
 
Ha ha ha, mambo ya kuwa nyumba ndogo hausi gelo

Akchwale huyu anatafuta wa kumuajiri amfanyie kazi, ila akimfanya nyumba ndogo anaongeza security ya biashara yake.

You might be right kuku wa bandani kwako si sawa na wa kununua sokoni
 
Back
Top Bottom