Ha ha ha, mambo ya kuwa nyumba ndogo hausi gelo
Akchwale huyu anatafuta wa kumuajiri amfanyie kazi, ila akimfanya nyumba ndogo anaongeza security ya biashara yake.
Nimejizititi kwa kila changamoto wapendwa, just send your applications Michelle upo?
Unauliza nipo El Toro, ina maana hunioni?? Au ndo tunakatishana tamaa nisilete application?? Nipo nimejaa tele nasubiri. Naona vigezo vimenishinda heshima kwa bi mkubwa kama hanitambui na kuniheshimu mi siiwezi.
Call me El Torro please and not any other names, sijaomba ruhusu ila hii ni siri na lengo hasa natafuta mchakarikaji awe business partner tuongeze kipato pamoja na tufaida mafanikia kwa kushare mapenzi pia.
Try your luck you never know
Am trying to figure out jinsi ambavyo angekuwa mwanamke ndo ametoa hili tangazo hizo abusive language ambazo angepata toka pande zote hasa ke.lakini huyu kwa xoz ni mwanaume eti ni hero eti "great things for....."iyaaa
I am a married man 40years of age, looking for "nyumba ndogo" with the following qualities,
1. A graduate with at least 25 years, asiye na wivu wa mapenzi bali wa maendeleo
2. Awe mrembo wa kawaida na anayefanya kazi sitaki madenti
3. Mwenye idea za kibiashara maana lengo langu hasa ni kuongeza wigo wa kipato
4. Awe tayari kuwa nyumba ndogo na kuheshimu nyumba kubwa
Kama una sifa hizo niPM with your mobile number niko serious so serious applicants ONLY are encouraged to apply
NB: Lengo langu ni kutoa dhana ya kuwa nyumba ndogo are there to spend but for me nataka nyumba ndogo inisaidie kuongeza kipato hata kwa kufungua biashara za kama M-Pesa's na kutanua iwe sehemu ya kufurahia mafaniko tutakayopata.
Biashara za MPESA nazo atafute security?? Anyway, nimekusoma point yako Kongosho,una miakili sana. Na nyumba ndogo nae kujiona ana hadhi basi atakuwa mwaminifu asijue mke atabaki mke....lol
mi natafuta wa kunisaidia kimaishaa tu biashara nyingine sitaki
Wewe ni jinsia KE au ME kama KE apply nikupunguzie hasira na povu
teh pls m pesa mi laki tano basi kama kianzio cha msaada waki kwanguAPPLY basi Smile
michele umekosa nini ufanywe part time?
Wewe ni jinsia KE au ME kama KE apply nikupunguzie hasira na povu[/QUOTE
Kwani kwenye tangazo lako umeanisha jinsia?We umesema unataka nyumba ndogo awe mrembo ,kwa misingi hiyo basi nakidhi vigezo kwani mimi ni me na ni mrembo haswa naatoka Mombasa naomba unifikirie na najua kutafua pesa