Am trying to figure out jinsi ambavyo angekuwa mwanamke ndo ametoa hili tangazo hizo abusive language ambazo angepata toka pande zote hasa ke.lakini huyu kwa xoz ni mwanaume eti ni hero eti "great things for....."iyaaa
Hamna cha povu wala nini yani Kaizer kuna vitu nikisomaga nashindwa kuelewa jamii inabidi nipite kimya ukiona naandika jua mtima umeshindwa kuvumilia.mzima lakini?heshima yako