Natafuta Pampu ya umwagiliaji

Natafuta Pampu ya umwagiliaji

Naomba alie na experience atushauri ni aina gani ya pampu ni imara zaidi ya zingine
 
Naomba alie na experience atushauri ni aina gani ya pampu ni imara zaid ya zingine
Kwa ushauri tu, usiegemee sana kwenye majina ya pump kama honda...tiger...

Jaribu kuangalia uwezo wa pump kulingana na mahitaji yako! Pia angalia ubora!
 
Kwa ushauri tu, usiegemee sana kwenye majina ya pump kama honda...tiger...

Jaribu kuangalia uwezo wa pump kulingana na mahitaji yako! Pia angalia ubora!
Mkuu nisaidie mie nategemea kuchimba kisima 30-50m under ground na pia juu ya ardhi kitasukuma maji hadi kama 5-10m, je hapa nitahitaji pump ya uwezo gani na kwa zilizopo bei zinaendaje? Kwa iyo pump lengo nikipump iwe mara moja au mbili kwa wiki nyingne zitasukuma drip irrigation na njia nyingne itakuwa ile ya sprinkler ndo mana tanki pia nitalinyanyua kidogo mkuu so naombeni ushauri wenu
 
Asante kwa somo zuri hivi pump ya honda ulio ielezea hapo juu ikiwa on kwa muda wa saa moja inaweza kutumia wastani wa petrol kiasi gani?
 
Mkuu nisaidie mie nategemea kuchimba kisima 30-50m under ground na pia juu ya ardhi kitasukuma maji hadi kama 5-10m, je hapa nitahitaji pump ya uwezo gani na kwa zilizopo bei zinaendaje? Kwa iyo pump lengo nikipump iwe mara moja au mbili kwa wiki nyingne zitasukuma drip irrigation na njia nyingne itakuwa ile ya sprinkler ndo mana tanki pia nitalinyanyua kidogo mkuu so naombeni ushauri wenu
Wakuu hakuna kweli mwenye ufahamu wa hili, msaadatafadhali
 
nimependa somo, kuna anae jua bei za pump za diesel 2.5"inches na 3"inches?
 
Kuna mambo mengine mengi ya kuzingatia unaponunua pump.

Aina ya umwagiaji
Wamwagiliaji mjini Morogoro humwagia kwa kuifuata mimea na kutembea na mpira shamba zima kila mmea ukimwagiwa maji peke yake. Kwa umwagiaji wa aina hii wakulima hutumia pump ndogo za inchi 2. Saizi ya pump hizi ni nzuri maana ni rahisi sana kuhamisha mipira jambo ambalo ni vigumu kufanya unapotumia pump kubwa ya inchi 3". Mpira wa inchi 3" ukijaa ni mzito saanaa kuuhamisha hamisha shambani.

Saizi maarufu ya pump eneo husika
Ni vema ukanunua size ya pump ambayo wakulima wengi wanayo. Kwa mfano unapokuwa na pump inchi 2" eneo ambalo wakulima wengi wana aina hio ni rahisi kuazimana mipira ya umwagiaji pale unapokuwa umepungukiwa mipira au kuazima pump pale pump yako ikileta ukorofi. Ukiwa na pump inchi 3" au 4" eneo hilo likikukuta tatizo wafa peke yako.

Chanzo cha maji
Maeneo ambayo chanzo cha maji ni visima au kijito chenye maji madogo ni vema kutumia pump ndogondogo inchi 2".... Kutumia pump kubwa kisima au chanzo cha maji hukaushwa mara moja na hali hii hulazimu umwagiaji kuwa ni wa kuwasha na kuzima mashine mfululizo kwa ajili ya kusubiria maji yakusanyike tena jambo ambalo hupunguza ufanisi.
 
Stay tuned wadau ntawaletea pump za umwagiliaji Sina ya GRUNDFOS make ya kijerumani nimeletewa pc kama 5 ....
Ni used ntazitupia Humu details zake na bei zake nkatayouzia

OvA
 
Stay tuned wadau/wakulima ntawaletea Humu kuwewekea pump aina ya GRUNDFOS make ya kijerumani......ntawawekea details zake na bei zake Nna pc 5 Sahvi zipo dar ni used na ni nzima kwenye shuguli ya Kilimo CHA umwagiliaji hapo ndiyo mahala pake

OvA
 
Nimefanikiwa kuipata moja maeneo ya kariakoo... Nashukuru kwa wote mliokuwa na nia ya kunisaidia... nimeona nianze na hii kwa muda kabla sijachukua mashine kubwa zaidi.. nimechukua 7.5hp, 3 inch, petrol

bei yake shi ngaapi mkuu
 
Wakuu hakuna kweli mwenye ufahamu wa hili, msaadatafadhali
PAMPU YA MAJI YA MKONO
MKOMBOZI WATER PUMP
IMG_20180331_152403.jpeg
Screenshot_2018-03-18-13-13-06.png
Screenshot_2018-02-21-18-28-06.png
Screenshot_2017-10-15-19-45-11.png
 
Back
Top Bottom