BEST ONE BOY
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 309
- 221
Ngumu kumeza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini mkuu??Ngumu kumeza
Kwa ushauri tu, usiegemee sana kwenye majina ya pump kama honda...tiger...Naomba alie na experience atushauri ni aina gani ya pampu ni imara zaid ya zingine
Asante sana mkuu
Asante kwa elimu
Thanks
Shukrani sana wadau!Asante mkuu
Mkuu nisaidie mie nategemea kuchimba kisima 30-50m under ground na pia juu ya ardhi kitasukuma maji hadi kama 5-10m, je hapa nitahitaji pump ya uwezo gani na kwa zilizopo bei zinaendaje? Kwa iyo pump lengo nikipump iwe mara moja au mbili kwa wiki nyingne zitasukuma drip irrigation na njia nyingne itakuwa ile ya sprinkler ndo mana tanki pia nitalinyanyua kidogo mkuu so naombeni ushauri wenuKwa ushauri tu, usiegemee sana kwenye majina ya pump kama honda...tiger...
Jaribu kuangalia uwezo wa pump kulingana na mahitaji yako! Pia angalia ubora!
Wakuu hakuna kweli mwenye ufahamu wa hili, msaadatafadhaliMkuu nisaidie mie nategemea kuchimba kisima 30-50m under ground na pia juu ya ardhi kitasukuma maji hadi kama 5-10m, je hapa nitahitaji pump ya uwezo gani na kwa zilizopo bei zinaendaje? Kwa iyo pump lengo nikipump iwe mara moja au mbili kwa wiki nyingne zitasukuma drip irrigation na njia nyingne itakuwa ile ya sprinkler ndo mana tanki pia nitalinyanyua kidogo mkuu so naombeni ushauri wenu
Nimefanikiwa kuipata moja maeneo ya kariakoo... Nashukuru kwa wote mliokuwa na nia ya kunisaidia... nimeona nianze na hii kwa muda kabla sijachukua mashine kubwa zaidi.. nimechukua 7.5hp, 3 inch, petrol
PAMPU YA MAJI YA MKONOWakuu hakuna kweli mwenye ufahamu wa hili, msaadatafadhali
MKOMBOZI WATER PUMPPAMPU YA MAJI YA MKONO
MKOMBOZI WATER PUMPView attachment 741684View attachment 741686View attachment 741687View attachment 741688