Hivi unakuwaga siriaz kweli, ni zaidi ya mara 50 naona unajipambanua umepigwa shoti.Mzeya any remnants nitupie mie maana nami nahitaji wife mwenye hiv
Yukoje huyu MKE MWEMA?Mkuu! Mungu akupe mke mwema mtakayependana na kuishi kwa amani.
Hakika kila la kheri zake...
Ah nmekosea kutag, mm nakutaka sana tangu kitambo ππππ Kwani ww hunitaki?
Sikia nenda vct ...... sehemu mnakochulia dawa uzuria semina za hiv za watu wanao ishi kwa matumaini .....utapata mtu humu mitandaoni kila mtu hana hiv ni siriNatafuta partner (Mwanamke).
Vigezo:
Mwembamba na White.
Mkristo au Muislamu.
Elimu yoyote.
Awe anafanya kazi.
Umri 23-27
Kabila lolote.
Asiwe na mtoto.
Upande wangu:
Elimu/ degree
Kazi/ nimeajiriwa
Umri/29
Naishi/ Mwanza
Dini/ mkristo
Maelezo zaidi njoo PM