Natafuta Partner awe HIV+

Natafuta Partner awe HIV+

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
Natafuta partner (Mwanamke).
Vigezo:
Mwembamba na White.
Mkristo au Muislamu.
Elimu yoyote.
Awe anafanya kazi.
Umri 23-27
Kabila lolote.
Asiwe na mtoto.
Upande wangu:
Elimu/ degree
Kazi/ nimeajiriwa
Umri/29
Naishi/ Mwanza
Dini/ mkristo
Maelezo zaidi njoo PM
 
Sometimes hizi mada huwa naziona kama ni za kutunga kuchangamsha genge,kwa sababu sehemu za kupatana watu wa aina hii zipo kwanini wahusika wasionane huko?

Mfano,kama mtu ana hiyo hali na huudhuria kuchukua ARVs kwenye vituo vya afya pale si panakuwa na wenzake jinsia tofauti?nadhani nao pia wakiwa na hamu ya kupata wenza sasa kwanini ktk hao hao asimtafute mwenza!tena ndiyo vizuri zaidi maana atachagua kitu anachokitaka tofauti na kwenye mitandao kama hivi hujui atakuja anaefanana vipi.
 
Natafuta partner (Mwanamke).
Vigezo:
Mwembamba na White.
Mkristo au Muislamu.
Elimu yoyote.
Awe anafanya kazi.
Umri 23-27
Kabila lolote.
Asiwe na mtoto.
Upande wangu:
Elimu/ degree
Kazi/ nimeajiriwa
Umri/29
Naishi/ Mwanza
Dini/ mkristo
Maelezo zaidi njoo PM
Sikia nenda vct ...... sehemu mnakochulia dawa uzuria semina za hiv za watu wanao ishi kwa matumaini .....utapata mtu humu mitandaoni kila mtu hana hiv ni siri

Pia ni vizuri mtu ukamuona live kuliko wa mitandaoni tafuta hata daktar wa sehemu za kuchukulia dawa atakupa list ya madem wa hiv atakusaidia kutafuta mchumba
 
Back
Top Bottom