Natafuta partner kuwekeza katika sports betting tips

Huyu jamaa Ana kamba tu Hana jipya yaani uwe na uwezo wa kubashiri 100% halafu ubaki unaajiriwa?? Sasa we si unahuakika wa kula mil2 kila siku au kazi hy ni kazi gani!!??
Ungeshakuwa milionea kama ungeweza kubeti 100% sure
Sheikh yahya mwenyewe na kamba zake za hesabu hakuwahi kubeti akala...alikuwa anasubirj mechi ishachezwa eti ndio ndio anapiga hesabu zake
Weka mechi 10 kujaribu uwezo wako tuone
 
Kwa hii statement yako inadhihirisha ni utapeli
Kuna mwajiriwa na kubeti vinahusika nn??
Si unamtuma MTU akutolee mikeka au unabet online?
 
He is either lying or dumb
 
Hivi hii ishu ya kubet ni serious sana eeeh?? ina maana kuna watu wanatoka kabisa kimaisha kupitia huu mchezo? maana kitaani kwangu naonaga washkaji tu wakiliwa tu buku buku zao,eti mtu anabet buku ili apate milioni,naonaga miujiza tu maana hakuna hata mmoja aliwahi kula zaidi kuja kwangu na kuniomba ela za vocha..Ila natamani sana namimi nijaribu siki moja sema ndoivo sijui naanzia wapi...ebu nifundisheni bhasi kidogo
 
Mpira hauna 100% ni kubahatisha tu. Niambie ni mchambuzi gani au predictor gani jana alisema Madrid na Man city watatoka 0-0?
 
Nakuja mdau
 

Attachments

  • FB_IMG_1513924661454.jpg
    9.5 KB · Views: 62
Tupe tatu za Leo za uhakka tujilipue kesho kanji afilisike
 
Kuna hela nyingi sana kubet na ukitaka kuzipiga fanya mchongo na Dr.Liki
 
JIPATIE DAU LA BURE KUTOKA WWW.BONGOTIPS.COM LA KUANZIA TSH 5,000/= HADI TSH 40,000/= KILA SIKU PALE UNAPO WEZA BASHIRI GAME ZAKO NA ZIKASHIDA.

MAELEZO ZAIDI PIGA 0673839983 , 0718445962, NA 0625655587
AU TEMBELEA WWW.BONGOTIPS.COM AU PAGE ZETU ZA FACEBOOK ZA BONGOTIPS PREDICTION
 
 
Bila shaka ushatajirika
Nyie ndo mawakala wa wala pilipili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…