Natafuta partner kuwekeza katika sports betting tips

Natafuta partner kuwekeza katika sports betting tips

Huyu jamaa Ana kamba tu Hana jipya yaani uwe na uwezo wa kubashiri 100% halafu ubaki unaajiriwa?? Sasa we si unahuakika wa kula mil2 kila siku au kazi hy ni kazi gani!!??
Ungeshakuwa milionea kama ungeweza kubeti 100% sure
Sheikh yahya mwenyewe na kamba zake za hesabu hakuwahi kubeti akala...alikuwa anasubirj mechi ishachezwa eti ndio ndio anapiga hesabu zake
Weka mechi 10 kujaribu uwezo wako tuone
 
Kama hujui kitu unapiga kimya. Acha ujinga. Anyway, mimi napiga hela uchao. Nina majukumu mengine, mimi ni muajiriwa. Sipati muda wa kutosha. Na hiki ninachotaka kufanya si kuwa nabahatisha. Nahitaji mtu ambaye nitamfundisha pia lakini mwenyewe muda kuliko nilivyo mimi. Hapo hakuna utapeli wowote, so far nimesema nitakutana na mbia na nitamjuza namna navyofanya mathematical calculations zangu na yeye kuprove track ya matokeo ya nyuma na mapya.
Kwa hii statement yako inadhihirisha ni utapeli
Kuna mwajiriwa na kubeti vinahusika nn??
Si unamtuma MTU akutolee mikeka au unabet online?
 
Hahahaaaaaa! eti hana muda ni muajiriwa. Yaani mkeka Bet unaweza ukaweka mpaka mil 2 upige mil 20 hlf ww unasema huna muda?

Sasa huo muda wa kutengeneza tips utaupata wapi? Hiyo ajira wanakulipa sh ngapi kwa siku?

Maana mimi kwa kubahatisha tu kuna siku nimeweka laki tano nikala m2 kwa masaa kuna ajira zaidi ya hiyo kweli hasa kwa mtu kama ww unaamini ukibeti ni 100%
He is either lying or dumb
 
Hivi hii ishu ya kubet ni serious sana eeeh?? ina maana kuna watu wanatoka kabisa kimaisha kupitia huu mchezo? maana kitaani kwangu naonaga washkaji tu wakiliwa tu buku buku zao,eti mtu anabet buku ili apate milioni,naonaga miujiza tu maana hakuna hata mmoja aliwahi kula zaidi kuja kwangu na kuniomba ela za vocha..Ila natamani sana namimi nijaribu siki moja sema ndoivo sijui naanzia wapi...ebu nifundisheni bhasi kidogo
 
Mpira hauna 100% ni kubahatisha tu. Niambie ni mchambuzi gani au predictor gani jana alisema Madrid na Man city watatoka 0-0?
 
Nakuja mdau
 

Attachments

  • FB_IMG_1513924661454.jpg
    FB_IMG_1513924661454.jpg
    9.5 KB · Views: 62
Tupe tatu za Leo za uhakka tujilipue kesho kanji afilisike
 
Kuna hela nyingi sana kubet na ukitaka kuzipiga fanya mchongo na Dr.Liki
 
JIPATIE DAU LA BURE KUTOKA WWW.BONGOTIPS.COM LA KUANZIA TSH 5,000/= HADI TSH 40,000/= KILA SIKU PALE UNAPO WEZA BASHIRI GAME ZAKO NA ZIKASHIDA.

MAELEZO ZAIDI PIGA 0673839983 , 0718445962, NA 0625655587
AU TEMBELEA WWW.BONGOTIPS.COM AU PAGE ZETU ZA FACEBOOK ZA BONGOTIPS PREDICTION
 
You got a point kaka. Ila kwa upande wa PREDICTION. Nadhani nimekosea kutum
JIPATIE DAU LA BURE KUTOKA WWW.BONGOTIPS.COM LA KUANZIA TSH 5,000/= HADI TSH 40,000/= KILA SIKU PALE UNAPO WEZA BASHIRI GAME ZAKO NA ZIKASHIDA.

MAELEZO ZAIDI PIGA 0673839983 , 0718445962, NA 0625655587
AU TEMBELEA WWW.BONGOTIPS.COM AU PAGE ZETU ZA FACEBOOK ZA BONGOTIPS PREDICTION
ia hilo neno. Badale yake ilitakiwa kuwa 100% sure soccer tips.
 
Bila shaka ushatajirika
Nyie ndo mawakala wa wala pilipili
 
Back
Top Bottom