pappilon
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 3,192
- 3,559
- Thread starter
- #41
Leseni ya nini mkuu wangu...Plant ni ya kukodi...ambaye anatakiwa kuwa na Leseni na kuilipia ni mwenye plant mkuu sio mimi. Mkuu kuhusu biashara wala usinieleze mkuu....najua machungu yake na matamu yake....naomba niishie hapoUsiseme hivyo, ni kwamba hatujuani, mimi nimefanya biashara na zero capital kuanzia, na kuna wakati sales zangu kwa mwaka zilifika 1bn.
Nataka nikueleze, biashara sio hesabu hizo hapo za karatasi, kabisa, kwenye hizo hesabu umeongelea leseni? Na gharama nyingine achana na VAT.
Biashara sio profil and loss account, haya mambo magumu sana, ukifanya masihara inaweza kukugeuka mpaka ukasahau flies ipo wapi wakati wa haja ndogo