Natafuta Partner kwenye biashara ya marudio (Uchenjuaji wa marudio ya Dhahabu)

Leseni ya nini mkuu wangu...Plant ni ya kukodi...ambaye anatakiwa kuwa na Leseni na kuilipia ni mwenye plant mkuu sio mimi. Mkuu kuhusu biashara wala usinieleze mkuu....najua machungu yake na matamu yake....naomba niishie hapo
 
Sawa mkuu....nimekusoma....na ndo maana sijasema marudio yana 6ppm wakati kiuhalisia yana 1.2-3.2ppm....ningekuwa nataka kupotosha ningesema yana 8ppm ili watu waingie mazima...na zaidi ya yote nimesema pia atakayekuwa interested atachukua samples za marudio na kuyapima kabla ya kuweka hela yake mkuu
 
Shida ni gharama za uendeshaji ni kubwa mnoo kwa hiyo ukiikamia halafu ukatamanishwa mbele sijui utapata kilo 3 sijui 4 hapo utafilisika ni kuifanya mdogo mdogo
Mkuu kwenye biashara ya marudio ukisikia mtu anakuambia sijui 10+ppm...kimbia mpaka mguu uvunjike
 
Kamwe siwezi nunua marudio,marudio yana mambo mengi sana ntachimba mwenyewe ila nakushauri hizo hesabu zako hapo juu ziangalie kwa jicho la tatu mi ni mzoefu tu japo umeniita wa kike uthibitisho huo hapo.View attachment 2435452
Sawa chief...ila ungejua na mm kuwa ni mtu genuine sana wala usingesema napotosha. Mtu nitayempata kila kitu kitawekwa wazi kabisa....wala hakutakuwa na janja janja. Asante boss na samahani kwa kukuita wa KIKE....nisamehe bure
 
Kila la kheri kwenye uwekezaji nunua machache anza nayo. Mtaji ukikua unanunua mengine hivyo hivyo.... wewe unaweza kuwa na kifua cha kupambana na lolote litakalotokea tofauti na huyo mwekezaji unaemtafuta.

Or

Yachukue hayo marudio kwa mali kauli japo ni ngumu ila penye nia pana njia.
 
Leseni ya nini mkuu wangu...Plant ni ya kukodi...ambaye anatakiwa kuwa na Leseni na kuilipia ni mwenye plant mkuu sio mimi. Mkuu kuhusu biashara wala usinieleze mkuu....najua machungu yake na matamu yake....naomba niishie hapo

Usingekuwa unakuja kuomba mtaji kwa usiowajua, kama una net work nzuri na biashara umefanya, huwezi kosa wawekezaji, mpaka uje kwa watu usiowajua, ni uhuni huo.
 
Sawa chief....Asante sana kwa ushauri
 
Usingekuwa unakuja kuomba mtaji kwa usiowajua, kama una net work nzuri na biashara umefanya, huwezi kosa wawekezaji, mpaka uje kwa watu usiowajua, ni uhuni huo.
Haya boss asante....je kama connection zangu zote zimekwama...nifanyeje sasa??hujawai sikia kuna tajiri mmoja mkubwa hapa tanzania ilifika wakati hata hela ya kuendesha maisha alikosa....kwani hakuwa na connection...mkuu we kama ni mfanyakazi kamatia vizuri hicho kibarua chako na jipendekeze kwa boss kweli kweli....huku duniani kugumu sana mkuu asikuambie mtu...ukiterereka kidogo kwenye biashara hata hao wenzako hutawaona.
 
Ukiitwa kwenye fursa yenye mahesabu mengi na faida kubwa, jua unaenda ibiwa.
 
It is a moral thing, investment ni issue kubwa na ngumu, ngumu sana kuipata hapa.

Mfano, wakati nafanya biashara kipindi kigumu kikaja, walio rescue mtaji wangu ni wale niliokuwa nafanya nao.

Unapiga simu, unamwambia bro, nimekwamba hapa 10m, unamueleza anaelewa, anasema pitia J3 ila ni ya kazi, naitaka tarehe fulani.

Sasa hapa wewe unaandika tu hesabu, is that a bankable business plan? Hakuna kinachishawishi hapo hata kimoja.
 
Sawa mkuu....ambao walishafanya hii kitu watanielewa na ndio nimewalenga....sio wafanya biashara za Icecream mkuu wangu....na sio lazima uccoment kwenye kila uzi mkuu
 
Kuna siku ntakuja tembea hapo moro site ni huko chini ya milima wanakochimba kaolini?
 
Kuna thread nilisoma inasema Hakuna biashara inafilisi Kama ya madini
Ningekua naweza kuiquote ninge attach apa
 
Kuna thread nilisoma inasema Hakuna biashara inafilisi Kama ya madini
Ningekua naweza kuiquote ninge attach apa
Ni kweli kabisa...ila inaweza kukuketisha na wafalme pia....hakuna biashara isiyofilisi na kutajirisha mkuu..
 
Papilon endelea kupambana ndugu yangu na Mungu atafungua. Penye nia pana njia
 
Huwa nipo very interested na issue za mining ila capital huwa ni tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…