Natafuta partnership kwenye biashara ya Clearing and Fowarding

Natafuta partnership kwenye biashara ya Clearing and Fowarding

Vigumu sana kupata.
Kampuni ya clearing hata milioni 7 unafungua, wangapi wanayo hiyo hela na awafungui kampuni. Kitu cha muhimu ni wateja, ukiwa na wateja unaweza pata hela kuliko mwenye kampuni.
Hapo ukikaa mwaka ukalipa tax, rent na vitu vingine utajikuta unaoperate kwa faida kidogo. Dalali mwenye wateja atakuzidi ndio maana madalali wengi hawawazi kuanzisha kampuni. Dalali akipata commission yake halipii kodi sijui leseni wala ushuru. Na dalali ana mwanya wa kumsumbua mteja na kumlipisha gharama ya juu zaidi.

Mwenye wateja akija kwako anajifunga, ukitoa makato na malipo mengine atapata hela ndogo kuliko anayopata sasa, na hiyo hela mtagawana. Hakuna partner wa kuja kupata hela pungufu ya anayopata. Ukitumia madalali unaweza usipate wateja wako na kazi ukafanya kwa faida pungufu zaidi.
Mkuu milioni Saba unafungua kampuni ya clearing, duh unazijua gharama zake kuanzia mwanzo Hadi kuwa na ofisi, kuwa serious basi
 
Habari

Natafuta mtu wa kufanya naye biashara ya clearing and forwarding. Nina kampuni, wateja wachache ninao, natafuta mtu mwenye wateja lakini Hana kampuni nifanye naye kazi.

Naomba kuwasilisha
Kwa kifupi ni kwamba unatafuta Dalali....
 
Back
Top Bottom