Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba aliye na rate mpya za PAYE anipatie au link yenye hizo rate.
Google The Finance Act 2015 (Tanzania) kisha tafuta part V utakuta schedule ya PAYE. Ila uwe makini maana hiyo iliyopo ni ya mwaka. Ukitaka ya mwezi unagawa kwa miezi kumi na mbili. Be careful...zile percentage usizigawe kwa miezi 12 bali ni zile amount za mishahara tu.