Natafuta PAYE tax table

Natafuta PAYE tax table

Asante

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2009
Posts
2,086
Reaction score
1,081
Naomba aliye na rate mpya za PAYE anipatie au link yenye hizo rate.


 
kuanzia 170,000 thou..ila cheki TRA website..si unajua ni tofauti for diffrnt amounts
 
Google The Finance Act 2015 (Tanzania) kisha tafuta part V utakuta schedule ya PAYE. Ila uwe makini maana hiyo iliyopo ni ya mwaka. Ukitaka ya mwezi unagawa kwa miezi kumi na mbili. Be careful...zile percentage usizigawe kwa miezi 12 bali ni zile amount za mishahara tu.
 
Google The Finance Act 2015 (Tanzania) kisha tafuta part V utakuta schedule ya PAYE. Ila uwe makini maana hiyo iliyopo ni ya mwaka. Ukitaka ya mwezi unagawa kwa miezi kumi na mbili. Be careful...zile percentage usizigawe kwa miezi 12 bali ni zile amount za mishahara tu.



[TABLE="class: grid, width: 375"]
[TR]
[TD] TOTAL INCOME[/TD]
[TD] RATE PAYABLE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Where total income does not
exceed Shs. 170,000/=[/TD]
[TD] NIL
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Where total income exceeds Shs.170,000/= but does not exceed Shs.360,000/=[/TD]
[TD] 11% of the amount in excess of Shs.170,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Where total income exceeds Shs. 360,000/= but does not exceed Shs. 540,000/=[/TD]
[TD] Shs. 20,900/= plus 20% of the amount in excess of Shs. 360,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Where total income exceeds Shs. 540,000/=but does not exceed Shs. 720,000/=[/TD]
[TD] Shs.56,900/= plus 25% of the amount in excess of Shs. 540,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Where total income exceeds Shs.720,000/=[/TD]
[TD] Shs. 101,900/= plus 30% of the amount in excess of Shs. 720,000/=[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Nashukuru sana mkuu ni sammary ya namna hii nilikuwa naitafuta, nimezigawa tarakimu kutoka jumla ya mwaka na kuweka tarakimu za makato kwa mwezi.

TRA wana matatizo kodi zinapopungua wanakuwa wazito sana ku update website yao.
 
Asante
Mkuu hizi ni kodi za biashara yeyote?
 
Last edited by a moderator:
Asante
Mkuu hizi ni kodi za biashara yeyote?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom