Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui uko wapi.Habari wanajamvi natafuta pempers ya mtoto mwenye kilo 28
Msaada tafadhali
Nazopata hazimtoshiUmeenda madukani umekosa?
Asante sana mkuuSijui uko wapi.
Ila kama uko Dar. Nemba pale Muhimbili, Kariakoo na Nakiete.
Na famasi kubwa.
Kilo 28 au Miaka 28?Habari wanajamvi natafuta pempers ya mtoto mwenye kilo 28.
Msaada tafadhali.
Ana umri gani ili tukushauri na mengine....Habari wanajamvi natafuta pempers ya mtoto mwenye kilo 28.
Msaada t
Kilo 28 ndiyo mtoto yupoje huyo ?Habari wanajamvi natafuta pempers ya mtoto mwenye kilo 28.
Msaada tafadhali.
Kilo 28Kilo 28 au Miaka 28?
Amina mkuuAdult pampers kwenye maduka ya dawa utampata hiyo size, I don't know what you are going through, Mungu akupe wepesi
Mtoto makubwa sema ni mlemavuKilo 28 ndiyo mtoto yupoje huyo ?
Kilo 28 ni mtoto wa miaka 8 - 12.Kilo 28 ndiyo mtoto yupoje huyo ?
Ndio shida ipo mtoto ni mlemavuMtoto wangu ana kilogram 21 yuko darasa la kwanza miaka 6,huyo wa kg 28 huenda akawa na miaka 8-10 ,kuna shida hapa,funguka zaidi