Natafuta pempers ya mtoto mwenye kilo 28

Natafuta pempers ya mtoto mwenye kilo 28

Kwani wewe unafikiri chagamoto za mwili na akili ni wazee tu, Watoto hazi wahusu. Ukiona familia yako haina chagamoto mshukuru Mungu na uendelee kuwa mpole.
Sikuwa na maana hiyo unayoifikiria mkuu
 
Back
Top Bottom