Natafuta rafiki/mchumba aje kuwa mume

Kila la kherii... Humu utapata wa kila namna ni jukumu lako kuzichanga karata zako vizuri. Ukifanikiwa usisite kuleta mrejesho.
 
Sidhani kama njia hii unayotumia ni sahihi.....bt I wish ol the best anywei[emoji110]
 
Komaa simba jike, vile vyote ulivyokuw unawatunza kweny harusi za mashoga zako, na ww wakurudishie kweny harusi yako, maana hakuna namna
 
Na hapo ndio tatizo linapoanzia, wewe unazani mtaan kwao hamna wanaume? Kwann kaja huku?
Huwez jua,pengine kakosa uyo mwanaume,alaf si unajua kupata mwanaume wa pekeo dunia ya leo majaaliwa,kila mtu anabahati yake
 
Maana mwanamke mwenye mtt aisee mhh labda kama baba mtoto kaaga dunia
 
Ulipata mtoto ukiwa na miaka 18 now una 30 mtoto anamiaka 12 yuko form one kwa umri huu tuanzie hapo
 
poa
 
Duuuu, Apeface unamkatisha tamaa. Huwez jua mazngra ya nyuma. Tumuombe Mungu apate nume mwema. Nashauri muwe mnaweka full picture ztasaidia sn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…