Natafuta rafiki/mchumba aje kuwa mume

Natafuta rafiki/mchumba aje kuwa mume

Kila la kherii... Humu utapata wa kila namna ni jukumu lako kuzichanga karata zako vizuri. Ukifanikiwa usisite kuleta mrejesho.
 
Sidhani kama njia hii unayotumia ni sahihi.....bt I wish ol the best anywei[emoji110]
 
Komaa simba jike, vile vyote ulivyokuw unawatunza kweny harusi za mashoga zako, na ww wakurudishie kweny harusi yako, maana hakuna namna
 
Na hapo ndio tatizo linapoanzia, wewe unazani mtaan kwao hamna wanaume? Kwann kaja huku?
Huwez jua,pengine kakosa uyo mwanaume,alaf si unajua kupata mwanaume wa pekeo dunia ya leo majaaliwa,kila mtu anabahati yake
 
Maana mwanamke mwenye mtt aisee mhh labda kama baba mtoto kaaga dunia
 
Ulipata mtoto ukiwa na miaka 18 now una 30 mtoto anamiaka 12 yuko form one kwa umri huu tuanzie hapo
 
natafuta mwanaume ambaye mwenyezi mungu akijaalia aje kuwa mume na baba wa watoto wangu,mimi nina miaka 30,nina fanya kazi kwa mtu binafsi,nina kipato cha kawaida sana ila namshukuru mungu,nina mtoto mmoja ambaye nilizaa nikiwa na miaka 18, sasa yupo form one,kwa imani mimi ni muislam ila ninaweza kubadili dini kama tukielewana na kupendana familia yangu haina kipingamizi na hilo,nahitaji mwanamume,mstaarabu,mwenye upendo kwa watu wote ampende pia mtoto wangu, na kama ana mtoto niko tayari pia kumpokea kama yeye atakavyompokea wa kwangu,awe mwenye kujali na kujua majukumu yake na sio kila kitu kuambiwa,tuzungumze lugha moja ambayo ni upendo,awe mtanashati kimavazi na kimuonekano(me ni mnene kiasi ila najitahidi sana kuwa smart na nimefanikiwa),mwenye hofu ya Mungu ili tujenge familia yenye kumjua Mungu.umri kuanzia 30 na kuendelea.mengineyo tutaelezana baada ya kuelewana.
poa
 
Duuuu, Apeface unamkatisha tamaa. Huwez jua mazngra ya nyuma. Tumuombe Mungu apate nume mwema. Nashauri muwe mnaweka full picture ztasaidia sn.
 
Back
Top Bottom