Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbn kitu cha kawaida,skuizi mtoto miaka 16anajua A mpk ZUlipata mtoto ukiwa na miaka 18 hivyo mimba ulipata ukiwa na miaka 17 ..samahan bikra ilitoka ukiwa na miaka mingap
Kila la kheri utapata ila kamati ya harusi uniweke kwa vinywajinatafuta mwanaume ambaye mwenyezi mungu akijaalia aje kuwa mume na baba wa watoto wangu,mimi nina miaka 30,nina fanya kazi kwa mtu binafsi,nina kipato cha kawaida sana ila namshukuru mungu,nina mtoto mmoja ambaye nilizaa nikiwa na miaka 18, sasa yupo form one,kwa imani mimi ni muislam ila ninaweza kubadili dini kama tukielewana na kupendana familia yangu haina kipingamizi na hilo,nahitaji mwanamume,mstaarabu,mwenye upendo kwa watu wote ampende pia mtoto wangu, na kama ana mtoto niko tayari pia kumpokea kama yeye atakavyompokea wa kwangu,awe mwenye kujali na kujua majukumu yake na sio kila kitu kuambiwa,tuzungumze lugha moja ambayo ni upendo,awe mtanashati kimavazi na kimuonekano(me ni mnene kiasi ila najitahidi sana kuwa smart na nimefanikiwa),mwenye hofu ya Mungu ili tujenge familia yenye kumjua Mungu.umri kuanzia 30 na kuendelea.mengineyo tutaelezana baada ya kuelewana.
Baba wa mwanao yuko hai? je mna mawasiliano?
Upo mzee mwenzangu,kitambo saana mkuuMbona huku mtaani nakutongoza hunikubalii.
Haya njoo PM.
stop judging man! you dont know her.hii imani yako sio sahihi jambo la kubadili dini sio mchezo kama si hili kesho ungekuwa wangu. Ukifikiria kubadili dini kwanini usifikirie kubadili mume baadae
hya tuma salamu kwa mtu mmojakila la kheri
na uwe mvumilivu na maneno ya waja.
maana wengi watakuja kukuumiza na comment zao.
Hayo ni mawazo yako tuu.Bahati hazijagi Mara mbili!!!
salamu zangu za dhati zimfikie slimdaddyhya tuma salamu kwa mtu mmoja
Poleee.... Karibu tenaaa...[emoji12]nilipigwa ban bila kosa lolote yaani
dini ni imani. na kila mtu anashida. na ndoa. ndo maana nilimpa tahadhari mapemaaaa. watu kama nyie hamkosekaniDuh kweli unashida na ndoa mpka uko tayari kubadili dini mungu akusaidie umpate wa dini yako