Natafuta rafiki/mchumba aje kuwa mume

Natafuta rafiki/mchumba aje kuwa mume

Bora utafute pesa usomeshe mtoto kuliko kutafta Mme!
Jiweke vizur, jipende mwanaune watajipendekeza wenyewe bila kujua unamtoto hapo ndo utakula kichwa!
Kwa kutangaza unamtoto unakmbza mabwana
 
natafuta mwanaume ambaye mwenyezi mungu akijaalia aje kuwa mume na baba wa watoto wangu,mimi nina miaka 30,nina fanya kazi kwa mtu binafsi,nina kipato cha kawaida sana ila namshukuru mungu,nina mtoto mmoja ambaye nilizaa nikiwa na miaka 18, sasa yupo form one,kwa imani mimi ni muislam ila ninaweza kubadili dini kama tukielewana na kupendana familia yangu haina kipingamizi na hilo,nahitaji mwanamume,mstaarabu,mwenye upendo kwa watu wote ampende pia mtoto wangu, na kama ana mtoto niko tayari pia kumpokea kama yeye atakavyompokea wa kwangu,awe mwenye kujali na kujua majukumu yake na sio kila kitu kuambiwa,tuzungumze lugha moja ambayo ni upendo,awe mtanashati kimavazi na kimuonekano(me ni mnene kiasi ila najitahidi sana kuwa smart na nimefanikiwa),mwenye hofu ya Mungu ili tujenge familia yenye kumjua Mungu.umri kuanzia 30 na kuendelea.mengineyo tutaelezana baada ya kuelewana.
Nahitaji tuwasiliane (0787321476)
 
Ungekuwa hauna Mtoto ingekuwa poa
Nakubaliana na wewe mkuu manake baba wa mtoto lazima aje nyumbani kwako mara kwa mara kumtembelea mtoto wake na hapo huyo baba hataogopa kuja hata ukiwa umesafiri manake anajustification tayari ya kuja kwako na historia inaonyesha lazima wakumbushane na x wake wa zamani
 
Inaonanyesha ww muislam jina tu usituzinguwe, muumin wa kiislam habadili dini kwa kutaka mume.
 
Inaonanyesha ww muislam jina tu usituzinguwe, muumin wa kiislam habadili dini kwa kutaka mume.
Mapenzi ni demokrasia mbona wakristo hubadili dini kuwafuata waume wa kiislamu kwa hiyo upande A ni haramu ila upande B siyo haramu.Acheni kumpangia yuko huru na akili yake.
 
"HATIMAYE SIMBA DUME APATIKANA,MAWINDO SASA NI MOTOMOTO"
.
Nimependekeza title tu ya uzi wako wa mrejesho pale utakapofanikiwa kumpata mwenza wako.
.
ila kwa jinsi ulivyoandika unaonesha dhahiri kuwa una uhitaji na mume. Naamini wamekujia wengi PM na watazidi kukujia... jitahidi upate wa kufanana nawe ambaye hutajutia..
 
Kwakweli..............

Umesema una hofu ya mungu????!!!!
Alaf upo tayal kubadili dini???

Kweli una shida ya ndoa...
Kila la kheri
 
Tupia Namba yako ili watiririke.
No longer utafurahi tu, Mungu ameskia kilio chako. Ila zidisha kuomba ili asiwe wa maumivu
 
h
hii imani yako sio sahihi jambo la kubadili dini sio mchezo kama si hili kesho ungekuwa wangu. Ukifikiria kubadili dini kwanini usifikirie kubadili mume baadae
huo ni mtazamo wako siwezi kukuzuia ila at least nimekuwa wazi
 
uli
Ulipata mtoto ukiwa na miaka 18 now una 30 mtoto anamiaka 12 yuko form one kwa umri huu tuanzie hapo
ulitaka nidanganye mkuu siku ukimuona mwanangu ulalamike,hapana mie siko hivyo huwa napenda kusema ukweli kwenye masuala ya msingi mtoto wang ni baraka na simjutii na ndo maana sioni aibu kusema umri wake na umri nilionao
 
Back
Top Bottom