I am out ....demu anaye kimbilia kuolewa badala ya kujivinjali na kujuana idara zote hafai pia ana shida ya udini huyu....
Masanilo na Yo Yo mje tender hiyoooooooooooo...najua mtakuwa na vigezo.
Mi nimeshindwa kigezo kimoja...
I am out ....demu anaye kimbilia kuolewa badala ya kujivinjali na kujuana idara zote hafai pia ana shida ya udini huyu....
I am out ....demu anaye kimbilia kuolewa badala ya kujivinjali na kujuana idara zote hafai pia ana shida ya udini huyu....
makubwa!
Kwani ametaja jinsia yake? Msije mkachangamkia tender kumbe wote mna jinsia moja kama ya huyo kaka/dada.
KAMANDA unaniangusha banaaa!!!
Yepi tena?
Biashara matangazo ati!
Subiri watu wataanza kuja na hadithi hapa...eti mume/mke mwema hutoka kwa Mungu..watu bana.....Sasa sijui huyo mke mwema Mungu atakushushia home au itabidi umtafute..awe mwema ukishakuwa naye...
Salaams!
Wapendwa mie natokea hapa kwa mara ya kwanza kabisa, shida yangu kubwa natafuta mchumba mwema anaemaanisha na ambae tayari alitendwa na hayupo tayari tena kutendwa! I am ready for long relationship! Umri ni kuanzia 30 mpaka 37, awe muislam itakuwa vema zaidi, kwa aliye tayari asisite kuwasiliana na mimi!
I mean it wapendwa
Wakubwa zangu Aljuniortz na wakukaya Masanja
Dada amesema wazi angependelea Muislam, sasa mimi Msabato wa Masalia kutuma application ni kujichosha...Ms Chite ingependeza kama angesema anatafuta mume age 30-37, awe tayari kupima HIV ingependeza, hapo hata sisi wachoma mkaa tusio na dini tungejimwaga...wigo wake unabana sana ...ngoja niwaachie wengine