Natafuta Rafiki, Mchumba

Natafuta Rafiki, Mchumba

Masanilo na Yo Yo mje tender hiyoooooooooooo...najua mtakuwa na vigezo.
Mi nimeshindwa kigezo kimoja...

Ongea kikubwa unaweza onewa huruma kwa kukosa hicho kigezo kimoja.
Kigezo gani hicho kimekutoa out?
 
Salaams!
Wapendwa mie natokea hapa kwa mara ya kwanza kabisa, shida yangu kubwa natafuta mchumba mwema anaemaanisha na ambae tayari alitendwa na hayupo tayari tena kutendwa! I am ready for long relationship! Umri ni kuanzia 30 mpaka 37, awe muislam itakuwa vema zaidi, kwa aliye tayari asisite kuwasiliana na mimi!
I mean it wapendwa

Hic!
Mimi nataka atakayenitenda Burp! ops sory. Nimetendwa na nipo tayari kutendwa, haya njoo tutekenyane habibi.
vp unatumia mzinga? au kiloba? hic!
 
Maadamu kuna watu kadhaa wanatafuta wachumba ( wanawake kwa wanaume) ningeshauri wale woooote wenye hilo hitaji wajiorodheshe wajina na wasifu wao na pia wanataka nini halafu hayo maombi/matangazo yabandikwe humu kisha wenyewe wafanye uchaguzi ( matching their needs and what is available) hii labda ingerahisisha mchakato zaidi kuliko kuendelea kuwauliza maswali na kuwachelesha.
Au mnasemaje waungwana?
 
Salaams!
Wapendwa mie natokea hapa kwa mara ya kwanza kabisa, shida yangu kubwa natafuta mchumba mwema anaemaanisha na ambae tayari alitendwa na hayupo tayari tena kutendwa! I am ready for long relationship! Umri ni kuanzia 30 mpaka 37, awe muislam itakuwa vema zaidi, kwa aliye tayari asisite kuwasiliana na mimi!
I mean it wapendwa

Upo tayari kuwa mke wa pili? Naweza kukusaidia🙂!
 
Naam Ms Chite!
Namaanisha kigezo cha kutendwa haswa kimenigusa! Ningependa uweke anuani ya mawasiliano ili tuweze wasiliana mpendwa. Mimi kiumri natarajia kufikisha hiyo miaka 37 Mwezi July.

Nitafurahi sana kwani mapenzi ya dhati hujengwa na kamwe hayachipui kama uyoga!
Nipo tayari kuwa nawe.
I appreciate!
 
Maadamu kuna watu kadhaa wanatafuta wachumba ( wanawake kwa wanaume) ningeshauri wale woooote wenye hilo hitaji wajiorodheshe wajina na wasifu wao na pia wanataka nini halafu hayo maombi/matangazo yabandikwe humu kisha wenyewe wafanye uchaguzi ( matching their needs and what is available) hii labda ingerahisisha mchakato zaidi kuliko kuendelea kuwauliza maswali na kuwachelesha.
Au mnasemaje waungwana?

Date/meet online ndani ya JF au?
Wazo zuri WoS, itasaidia wengi kupata wenza wa maisha.
 
Hivi kuna ambao bado wana hamu ya kuolewa! Pamoja na matatizo yote hayo tunayoyasikia ndani ya ndoa?
 
Ms Chite mbona kimya hivoo. Tangu umeleta mada huyooo kimya. Au wamezidi kukutenda bibie? Japo utujuze kama tayari tufunge hii mada. Usijekuta unalia kwa majibu ya humu?
Masanilo na Fidel mmbembeleze bibie atulie ili atujuze kama kuna ambaye amefikia vigezo!
 
Bado anafanya upembuzi yakinifu.
 
acha ulofa kaka mchumba anatafutwa kwa staili hiyo kakwambia nani? huo ni wizi mtupu
 
Salaams!
Wapendwa mie natokea hapa kwa mara ya kwanza kabisa, shida yangu kubwa natafuta mchumba mwema anaemaanisha na ambae tayari alitendwa na hayupo tayari tena kutendwa! I am ready for long relationship! Umri ni kuanzia 30 mpaka 37, awe muislam itakuwa vema zaidi, kwa aliye tayari asisite kuwasiliana na mimi!
I mean it wapendwa

I smell unatafuta umaarufu.
kama si hivyo basi be active jibu hoja za wadau hapa.
 
yupo busy na PM, atarudi...lol! haya majibu ya humu yamemkatisha tamaa mrembo, we Fidel si ufike bei?
 
Jamani mimi nimejitosa kuweka picha yangu.....Kama Ms Chite atanimindi nitabadili dini, ukizingatiwa sijatenda wala kutendwa here come M.A.S.A.N.I.L.O

27311-natafuta-mchumba-6.html
 
sasa na nyinyi kina kaka mtu amekuja kwa heshima mara mnaanza kumuomba tigo sijui si mngemwandikia private tu jamani si mnajua tena hayo makubaliano ya watu wawili mtu hawezi kukubali hadharani
sorry kama nimewaudhi

Tigo haiombwi ,unaupeleka tu muwanzi ,kama simfanyaji atautowa hapo utaomba samahani hukujuwa wapi unakwenda, akinyamaza ndio hivyo tena Masantula ngoma ya mpwito imetoka hiyo .....Msasani
 
Back
Top Bottom