Natafuta Rafiki, Mchumba

Natafuta Rafiki, Mchumba

We masanilo Hic!
Naona unaonesha tabasamu la birthday hapo hwa hwa har har!!!
Kibaya chajiuza, Chema chagida KONYAGI
 
Salaams!
Wapendwa mie natokea hapa kwa mara ya kwanza kabisa, shida yangu kubwa natafuta mchumba mwema anaemaanisha na ambae tayari alitendwa na hayupo tayari tena kutendwa! I am ready for long relationship! Umri ni kuanzia 30 mpaka 37, awe muislam itakuwa vema zaidi, kwa aliye tayari asisite kuwasiliana na mimi!
I mean it wapendwa

nadhani mimi ndio right person wako,
 
Jee umeshapata huyo uliokuwa wamtafuta?Tupe up date kama bado watafuta?

...mpeni muda, kwanini arudi mapema as if alikuwa anatafuta kibarua? halafu kuna wale waliomkalia kidedea kwa vigezo vya awali, mfano angeongezea;
'asiyekoroma usingizini', 'asiye na kitambi cha ugali' nk, angebakia mtu hapa? 🙂
 
i am out ....demu anaye kimbilia kuolewa badala ya kujivinjali na kujuana idara zote hafai pia ana shida ya udini huyu....
subiri muislamu we mamaaa ukiweka kibindoni kitu kama 45 hivi utatafuta mwenyewe hata mpagani. Ndio hapo sasa unaanza kuwa mama kubwa na sidai
 
Wapo ila kwenye udini ndio mmh je wewe ni SHE au HE
 
yupo busy na PM, atarudi...lol! haya majibu ya humu yamemkatisha tamaa mrembo, we Fidel si ufike bei?

Hahahaha nipigie pande basi mi nimechemka....mtu hapatikani sana hewani not recharble.
 
Bacteria!
Ujue mie nina sababu zangu na kutaka muislam labda ww umenielewa vibaya lakini I know wat am doing! Usinilaum sana kwa kutafuta muislam! Najua mapenzi hayachagui dini wala kabila lakin kumbuka dini pia ni msingi imara katika mahusiano marefu kama ndoa!

chite nipo tayari kukuaccess kwa kuwa mi pia ndio muda huu. Nipe contact
 
Bacteria!
Ujue mie nina sababu zangu na kutaka muislam labda ww umenielewa vibaya lakini I know wat am doing! Usinilaum sana kwa kutafuta muislam! Najua mapenzi hayachagui dini wala kabila lakin kumbuka dini pia ni msingi imara katika mahusiano marefu kama ndoa!

Unafuta mchumba au unatafuta imamu au bilali wa masjid? acha hizo wewe ..
 
Bacteria!
Ujue mie nina sababu zangu na kutaka muislam labda ww umenielewa vibaya lakini I know wat am doing! Usinilaum sana kwa kutafuta muislam! Najua mapenzi hayachagui dini wala kabila lakin kumbuka dini pia ni msingi imara katika mahusiano marefu kama ndoa!

Hapo umenena lakini mi nikitaka kuslimu si sawa tu au?
 
Samahani dada Ms Chite, nina miaka 28 na ni-mkristu ambae kamwe siji kubadili dini ila mke wangu anaweza kuwa dini lolote lile, hata awe mpagani. Kama unahisi ninafaa, though out of qualifications, niambie basi. Note that uwe na + or - my age yaani, uwe 26 mpaka 30. ILA uwe tayari kupimwa kama walishaku-tigolizi, kamwe siji kuoa mwanamke aliefanya mapenzi kinyume cha maumbile, afadhari niwe kama nilivyo.
Mimi ni mcheshi, nimetendwa nilipokuwa 26. Na nilitendwa vizuri tu maana mpaka kesho linaniuma.
Kama kweli upo serious, ni PM. Ikifika tarehe 23.04.2009 hujano-pm then najuwa nimekukosa.
 
Kupima HIV ni muhimu, ingawa ni second test
 
Ms Chite, sawa bibie kuna ndugu yangu nae ana-search na ana-range kwenye age ulioitaja na dini pia anaqualify. Ina maana vigezo ni hivo tu, mara nyingi naona wenzako mbali na dini huwa wanaweka mambo ya financial security, material capacity educational levels etc etc. Hebu eleza zaidi nikupigie/nimpigie debe huyo jamaa yangu. Halfu bila kusahau na wewe pia toa biography walau kwa asilimia 50% :- Umri wako na mengineo muhimu
 
Bacteria!
Ujue mie nina sababu zangu na kutaka muislam labda ww umenielewa vibaya lakini I know wat am doing! Usinilaum sana kwa kutafuta muislam! Najua mapenzi hayachagui dini wala kabila lakin kumbuka dini pia ni msingi imara katika mahusiano marefu kama ndoa!

Nani aliyekudanganya hili?
 
Back
Top Bottom