BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Duh!! makalio tena?? Ila kuna ambao wajihi wao unamvuto kama wa kibantu. Wewe nenda Chennai au Kerala utapata wapo wa kumwaga na wanye wajihi wa kibantu.
Na huko haitakuwa kazi kupata mademu ho wa kihindi
Unayosema ni kweli na kama kawaida kuna exceptional katika vitu vingi . Halafu nimeona wahindi wengi bongo ndo wako hivyo..