Natafuta Rafiki, Mchumba

Natafuta Rafiki, Mchumba

sasa Uporoto wenzio mbona unawaharibia apetaiti?

Nimewapa tu uzoefu wangu wa wadosi,asikwambie mtu dada zetu 'hotpot' hawana mfano.Kuna ule msemo wa kina dada wa kizungu 'once your man goes black you have lost him'.
 
Naitwa sam naishi dar natafuta mwanamke mwenye umri kati ya miaka 20-30 awe na heshima, mwaminifu, tabia zinazopendeza kwenye jamii, kwa upande wa dini sibagui digi wala kabila namba yangu 0713998604.Sammy
 
Wasiliana na Ms Chite! Kaka unataka kuowa ama kupigana mikasi tu? Thanks
 
Naitwa sam naishi dar natafuta mwanamke mwenye umri kati ya miaka 20-30 awe na heshima, mwaminifu, tabia zinazopendeza kwenye jamii, kwa upande wa dini sibagui digi wala kabila namba yangu 0713998604.Sammy

Na wewe mwenyewe wasifu wako ni nini?.
 
Naitwa sam naishi dar natafuta mwanamke mwenye umri kati ya miaka 20-30 awe na heshima, mwaminifu, tabia zinazopendeza kwenye jamii, kwa upande wa dini sibagui digi wala kabila namba yangu 0713998604.Sammy

Unatafuta mwanamke au msichana? Je unamtafuta kwa ajili gani? Maana hujawa wazi! (unatafuta mwanamke, then........??????).
 
Mkuu kashaija unadhani mwanaume yeyote atajitokeza kusema kuwa anatafuta mwanamke kisha awe hausigeli wake?? huyu jamaa anatafuta mwanamke wa KUMMEGA
 
Naitwa sam naishi dar natafuta mwanamke mwenye umri kati ya miaka 20-30 awe na heshima, mwaminifu, tabia zinazopendeza kwenye jamii, kwa upande wa dini sibagui digi wala kabila namba yangu 0713998604.Sammy

Hii style yako ya kutafuta mwanamke ni mpya ndani ya JF!!!

Unatafuta mwanamke...?!....,then ukishampata!
 
Tangazo/ombi la huyu mkuu linatisha.Hakuna mtu atajibu maana haijulikani anamtaka kwa ajili gani.Isije ikawa anatafuta kwa ajili ya ritual sacrifices! Si mnajua uchaguzi unakaribia na watz kama kawaida wanapenda kuiga? Nigeria ndo zao hizi.
Be specific/more elaborate Sam!
 
Hii style yako ya kutafuta mwanamke ni mpya ndani ya JF!!!

Unatafuta mwanamke...?!....,then ukishampata!
....Kaka huku kwetu mbona wapo wengi tu ni-PM nikupe ramani.....Utafurahia mwenyewe!!!!
 
Mwamamke anatafutwa kilazima..? Mfano wewe ungekuwa mwanamke then uone hilo bandiko hapo juu ungejitosa?
....Yaelekea watu wanahofia kwa kutojua kwa nini huyu ndugu anatafuta mwanamke..Mbona akina dada mnakuwa wakali hivyo? Ngoja tumuulize jamaa anataka mwanamke wa nini?? Huenda amani ikarudi kwa wadada na muweze kuchangamkia deal hiyo!!!! Teh!tehhhh!!
 
Mwamamke anatafutwa kilazima..? Mfano wewe ungekuwa mwanamke then uone hilo bandiko hapo juu ungejitosa?
tangazo la sam liko clear lisome vema....vigezo vyake vinaonyesha anahitaji mwanamke kwa ajili ya mahusiano........kama una vigezo mbeep sam akupigie

Naitwa sam naishi dar natafuta mwanamke mwenye umri kati ya miaka 20-30 awe na heshima, mwaminifu, tabia zinazopendeza kwenye jamii, kwa upande wa dini sibagui digi wala kabila namba yangu 0713998604.Sammy
 
tangazo la sam liko clear lisome vema....vigezo vyake vinaonyesha anahitaji mwanamke kwa ajili ya mahusiano........kama una vigezo mbeep sam akupigie

Hii Sam haiko makini ...hajui kuimbisha mademu anataka slope...walahi huyu hapati demu tena wa JF...namshauri aende kwenye Madanguro ya Kichina hahah kule nasikia unaonyesha dollar 100 hakuna kuimbishana...
 
buku 20 tu.....
 
Back
Top Bottom