Natafuta Rafiki, Mchumba

Natafuta Rafiki, Mchumba

Duh!! makalio tena?? Ila kuna ambao wajihi wao unamvuto kama wa kibantu. Wewe nenda Chennai au Kerala utapata wapo wa kumwaga na wanye wajihi wa kibantu.

Na huko haitakuwa kazi kupata mademu ho wa kihindi

Unayosema ni kweli na kama kawaida kuna exceptional katika vitu vingi . Halafu nimeona wahindi wengi bongo ndo wako hivyo..
 
Mbu..
Na Shabani je? ha ha

...na kweli, 😀 halafu hao kina 'shaabani' wenyewe wanakuwa watiiifu! wanaajiriwa wakiwa teenegers, wanastaafu weshakuwa vibabu! he he heee!

...binti wa kihindi sura na nywele ni matata sema wamepigwa pasi takatifu makalio/flat skrini,...

...Generalization ni wahindi, lakini ukishaanza kuwachanganua unawakuta Singasinga, wapakistani, Nepalese, Sri Lankas, Bangladeshi's nk... masinga singa kwa mawowowo mnh!!! Nepalese utawakuta wenye Green eyes na blue eyes,..sri lankas wazuri wa sura, nk nk nk...

...waliopo bongo sijui makumbaro na mabaniani wanafiti wapi, mie sijui!...ila waliopo bongo wengi wao wanajiona keki, (isipokuwa miss Tanzania; Richa Adhia 🙂 )

Watu wa Mumbai wamo humu, endeleeni kutujuza...
 
Jamani mie natafuta demu wa kihindi, hivi ni gia gani nitatumia kuwaningia naona huko juu watu leo ni ufisadi,mafisadi wa kihindi tuuuuu!!
mie nimeona vyema nitafute demu wa kihindi nijipooze na sory za baba zao mafisadi.
Prett na wengineo nipeni tactics za kuwaingia mademu wa kihindi kwani ni wazuri balaa umpate mwenye jicho la kulegea hata mechi utauza, kiuno balaa, nitatumia njia gani???

NgomaNzito,

With due respect, are you trying to bring hate-rage towards this society? Is that the solution in dealing with ‘mafisaidi’? mbona tunaunganisha jamii nzima ya watanzania(wenye asili ya kihindi) na huu ufisadi?

Pili, hoja yako imekaa kibaguzi zaidi kuliko uhalisia wenyewe. Mafisadi mbona wapo wa kila rangi ndani ya jamii yetu.

Aliyetenda dhambi na aadhibiwe kwa mujibu wa kanuni n taratibu zilizowekwa na nchi. Kupandikiza mbegu za chuki hazitatufikisha popote. Leo itakuwa kwa mtu mwenye asili ya India, kesho itakuwa kwa jamii nyingine kwani Mwalimu alishasema ‘ukionja nyama ya binadamu huwezi kuacha’.

Kila dhambi ipimwe kutokana na yule aliyeitenda na si kuiusisha jamii yake yote( rejea kisa cha mbwa mwitu na mwanakondoo)

My take: Kama unawapenda hao mabinti wenye asili ya kihindi basi tumia juhudi zako binafsi na si kupandikiza mbegu za chuki kwenye jamii ya kitanzania.
 
Nenda India ndugu utawakuta bwerere, tena ukipata wale wasichana wa wahindi weusi kwako nadhani itakuwa poa zaidi.
 
MODS hii thread haileti mantiki na imekaa kibaguzi. Fanyeni linalotarajiwa.
 
Hajasema anataka kuoa. He probably just wants to hit it and quit...

Na inategemea yuko wapi....huku wapo wengi walio-adopt mila za Kimagharibi na hawa-mind interracial dating...

Goodluck!!! and start praying to those millions of gods and maybe you will be successful.
Castism will disqualify you already!!!!! I suggest you try bleeding a rock.
 
Mbu..
Na Shabani je? ha ha

Mtafuta Mhindi!
Mabinti wa kihindi sura na nywele ni matata sema wamepigwa pasi takatifu makalio/flat skrini,kuhusu kupenda na mengineyo sijui ila wanapenda kuchukuana wenyewe kwa wenyewe.
Wakati nasoma SRSS kuna kijana mmoja alikuwa anamchukua binti wa kihindi, ilikuwa ni stori kila mahali kwa sababu ya mixture yao.

Kwahiyo kama una nia utapata tu binti wa kihindi ujivinjari nae!..

Aaagh!! uzuri nje tu! Nyapu zao za bariiidi!! kama kwny freezer, mi nilikuwa nae mmoja pale upanga, nilimwacha kwa sababu hiyo.... ukipiga kitu mzee bariiidi wakti nilishazoea kibongobongo 'kitu cha moto'' heh he
 
NgomNzito mbona wewe umejitambulisha kuwa ni 'born again'? sasa haya ya kuvunja amri ya sita umeyatoa wapi? Anyway ni 'sampi sako mwenyewe' kama alivyosema binti toka makete, kama sirias unataka kumega kemcho bai basi fanya hima nenda mikocheni pale Talk of Town na mkwanja dola 200.-(za USA na sio ZIM Dola!),chap chap utajimegea hadi uchoke.
ps: usintaje kuwa mimi ndo nimekueleza na ukitoka mwaga experience yako hapa JF.
 
Ngomanzito kama uko Dar ni-pm nitakupa contact ya mmoja kuanzia hapo ni juhudi zako.
 
Bishanga mbona $200 US ni nyingi? mi hata $50 sitoi kwa demu wa kihindi,wako baridi(frigid) na mimaji kibao,take it from me a former muhuni.
 
Ongea na mfanyakazi wao wa ndani atakuunganishia vizuri tu sema ndio hivyo uwe mvumilivu maana unaweza kuimbisha ata mwaka.
 
Ongea na mfanyakazi wao wa ndani atakuunganishia vizuri tu sema ndio hivyo uwe mvumilivu maana unaweza kuimbisha ata mwaka.

Umenikumbusha mbali mheshimiwa, enzi natoka na demu wa kiarabu anayeishi kariakoo...damn yani kicheko tuu..funny enough demu aliolewa wakati tuko secondary...life goes on..anywho kwa mwenye mada kama kweli unamtaka demu wa kihindi au kiarabu wanapatikana kama mademu wa race nyingine yoyote as long as you have the same interests and the patience to deal with what may come. As we are all aware of our country's history, pingamizi itakuwa kubwa...jaribu kusoma thread yangu moja ambayo ilikuwa na article kuhusu wahindi tanzania..
 
Umenikumbusha mbali mheshimiwa, enzi natoka na demu wa kiarabu anayeishi kariakoo...damn yani kicheko tuu..funny enough demu aliolewa wakati tuko secondary...life goes on..anywho kwa mwenye mada kama kweli unamtaka demu wa kihindi au kiarabu wanapatikana kama mademu wa race nyingine yoyote as long as you have the same interests and the patience to deal with what may come.

Duh Kariakoo mitaa ya wapi? Mie kuna totoz moja nilipewa tips na mfanyakazi wao wa ndani sema ndio hivyo ilichukua muda mpaka mtoto wa kike akaelewa somo. Kitu kingine wahindi na waarabu hali yako ya maisha ikiwa nzuri kuliko wao watakuheshimu.
 
Yeah true,
i really cant remember the name of the street, ilikuwa karibu sana na ile junction ya pale jengo la vijana palipo hakielimu..alikuwa mtoto wa mfanyabiasha mmoja tajiri mwenye mabasi dar, mombasa na tanga. Mabasi mengine madogo alikodisha international school moja ambayo wanae walikuwa wanasoma ndo kijana nikajitoa mhanga kuimbisha kwenye school bus..hahahahaha
 
Mazee unazungumzia Lumumba na Morogoro RD ukipanda kwa juu kama unaelekea Fire/Muhimbili/Jangwani unakutana na Livingstone? Mitaa ile nilikuwa nikipita basi nakwenda Jangwani/Zanaki/Mzizima.

Anywways huyu muungwana namtakia mafanikio mema kwenye mission yake.
 
yeah round that area ukipandisha juu unakwenda fire..walikwa na gorofa pale maeneo yale...huyu muungwana kama anania atapata tuu coz wabongo kibao wamemega wahindi na waarabu sio kitu kigeni sema haifiki kwenye ndoa coz hali halisi tunaielewa.
 
Mwanangu Ngoma nzito malizana nao, nami pia nina hasira nao kinoma, anyway ukifanikisha nielekeze mbinu nami nifanye mambo ila currently nami nimetega kuna kimeo cha kidosi kimechoka kidogo so ndo nakilia timing.

Target ni kuhit kisha nduki hakuna kucheki nyuma mara za kumwaga wala nini.

Peace,

Killuminati

lololol.....
 
Yeah true,
i really cant remember the name of the street, ilikuwa karibu sana na ile junction ya pale jengo la vijana palipo hakielimu..alikuwa mtoto wa mfanyabiasha mmoja tajiri mwenye mabasi dar, mombasa na tanga. Mabasi mengine madogo alikodisha international school moja ambayo wanae walikuwa wanasoma ndo kijana nikajitoa mhanga kuimbisha kwenye school bus..hahahahaha

Mazee unazungumzia Lumumba na Morogoro RD ukipanda kwa juu kama unaelekea Fire/Muhimbili/Jangwani unakutana na Livingstone? Mitaa ile nilikuwa nikipita basi nakwenda Jangwani/Zanaki/Mzizima.

Anywways huyu muungwana namtakia mafanikio mema kwenye mission yake.

yeah round that area ukipandisha juu unakwenda fire..walikwa na gorofa pale maeneo yale...huyu muungwana kama anania atapata tuu coz wabongo kibao wamemega wahindi na waarabu sio kitu kigeni sema haifiki kwenye ndoa coz hali halisi tunaielewa.

...wakuu mnafurahisha, anyway...sijui mabasi mnayoyazungumzia hapa ni Tawaqal au Tawfiq, maegesho (yalikuwa) Upanga maghorofani pale barabara ya umoja wa mataifa.,

Bishanga mbona $200 US ni nyingi? mi hata $50 sitoi kwa demu wa kihindi,wako baridi(frigid) na mimaji kibao,take it from me a former muhuni.

...dah, ...hata sijui nisemeje hapa, lakini binafsi nimekwazika na hilo neno, uwe unalegeza kidogo mkuu 🙁
 
Bishanga mbona $200 US ni nyingi? mi hata $50 sitoi kwa demu wa kihindi,wako baridi(frigid) na mimaji kibao,take it from me a former muhuni.
sasa Uporoto wenzio mbona unawaharibia apetaiti?
 
......dah, ...hata sijui nisemeje hapa, lakini binafsi nimekwazika na hilo neno, uwe unalegeza kidogo mkuu 🙁

Ukirudi nyuma kidogo utakuta kuna mwingine nae katoa 'info' kama yangu
 
Back
Top Bottom