Natafuta Rafiki, Mchumba


kwanini?
ubaguzi, udini na ukabila huu.
 
Nitawataarifuni hapa hapa katika jukwaa hili, naomba mvute subira nikamilishe "Memorandum of Understanding" pamoja na "Terms of Reference".
Pasi na shaka mtavuta subira.


ngoja ngoja wajua huumiza matumbo eh!!! kama umekosa njoo mie sina cha MOU sijui TORs, bora tupendane tu, maisha mafupi! halafu hizo MOUs zitafanyiwa review kila mwaka ama????
 
Last edited:
ngoja ngoja wajua huumiza matumbo eh!!! kama umekisa njoo mie sina cha MOU sijui TORs, bora tupendane tu, maisha mafupi! halafu hizo MOUs zitafanyiwa review kila mwaka ama????

Mwenzio kasema yupo DSM, na mi kwa uelewa wangu upo Nairobi unakula bata.....eeh? how com?🙄
 
Mwenzio kasema yupo DSM, na mi kwa uelewa wangu upo Nairobi unakula bata.....eeh? how com?🙄

sasa kwani DSM na Nbi ni mbali??? kwa wapendanao its a stone throw away... we nawe prophet of doom!
 
we nawe unatakakulisha majirani wanao walale njaa,charity start at home!!!
 
sasa kwani DSM na Nbi ni mbali??? kwa wapendanao its a stone throw away... we nawe prophet of doom!

hehehehhehehe.........mambo ya weekend hayo! hata kwenye the same roof kunaweza kuwa mbali kuliko dar na nai...I reckon
 
mwanakwetu njoo huku mi sina masharti yoyote..
 
Nitawataarifuni hapa hapa katika jukwaa hili, naomba mvute subira nikamilishe "Memorandum of Understanding" pamoja na "Terms of Reference".
Pasi na shaka mtavuta subira.
teh teh kiongozi kila la kheri..nimependa mambo ya Term of Reference
 

Dont be surprised WoS

In this current life style, just expect the unexpected!!! Life is strange and desperate... waliopigiwa mbiu wameisoma
 
"Hivi nyie watu namna gani? Mnamuuliza anatafuta Mwanamke wa nini!! Hamjua kabisa Mwanamme akitafuta Mwanamke huwa ni wa kazi gani? Du!!! Mnanitia mashaka".



hii mi nimeipenda!
 
Kuwa wazi ndugu. Unatafuta mwanamke awe Mkeo?, au awe nyumab ndogo?, au awe House girl? au awe Mlinzi wako?
 
Kulingana na majibu yako kwa maswali ya Nasolwa nadhani utampata umtafutae kirahisi. Kama ni house girl agiza kijijini kwenu, kama mlinzi cheki na wamasai, kama mke pepesa macho kanisani, kazini kwako, classmates, sister zako au ndugu wanaweza kukuunganisha. Jiandae na wewe kumweleza binti what you will be bringing to the table.
 

asee, wanawake wakuoa wanapatikana hapo?
 
Siyo hivyo tu,hofu nyingine ni pale anapotaka kuoa kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhan. Baada ya hapo anakurudisha mtaanii ukataabike.

Kuwa muwazi namna gani vipi nije mwenyewe.
 


Hatari hiyo,tanzania au ulaya.....Sidhani km tanzania wapo wanaume wanaoolewa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…