Natafuta Rafiki, Mchumba

Natafuta Rafiki, Mchumba

Mkuu Idimi
Natafuta mchumba wa kike awe naelimu sio chini ya kidato cha sita,
Awe mrefu na mwembamba wa wastani as well as umbo na sura ya kulidhisha.
Asiwe mweusi wala mweupe sana(asiwe wa kutumia mkorogo,pombe)
Dini yoyote ila asiwe mlokole.
Asiwe mhaya au mchaga

Umri:18-24

Wasifu wangu!
Umri:28
Elimu: Degree
Mrefu kiasi
Rangi:Maji ya kunde
Napenda sana kufanya kazi mda mwingi!

kwanini?
ubaguzi, udini na ukabila huu.
 
Nitawataarifuni hapa hapa katika jukwaa hili, naomba mvute subira nikamilishe "Memorandum of Understanding" pamoja na "Terms of Reference".
Pasi na shaka mtavuta subira.


ngoja ngoja wajua huumiza matumbo eh!!! kama umekosa njoo mie sina cha MOU sijui TORs, bora tupendane tu, maisha mafupi! halafu hizo MOUs zitafanyiwa review kila mwaka ama????
 
Last edited:
ngoja ngoja wajua huumiza matumbo eh!!! kama umekisa njoo mie sina cha MOU sijui TORs, bora tupendane tu, maisha mafupi! halafu hizo MOUs zitafanyiwa review kila mwaka ama????

Mwenzio kasema yupo DSM, na mi kwa uelewa wangu upo Nairobi unakula bata.....eeh? how com?🙄
 
Mwenzio kasema yupo DSM, na mi kwa uelewa wangu upo Nairobi unakula bata.....eeh? how com?🙄

sasa kwani DSM na Nbi ni mbali??? kwa wapendanao its a stone throw away... we nawe prophet of doom!
 
Nilisahau swali la msingi IDIMI, hivi kuna wale ambao tunawajua wapo nje ya hiki kiwanja ila TBS safi kabisa kila kigezo wametimiza na some wamezidi kidogo kwa ubora. Je tunaweza kuwabonyeza wajaribu hiyo bahati yao? watumie mawasiliano gani mzee kukupata? au hii offer ni kwa ajili ya members wa JF tu? Samahazi wazee sio kama nafanya ukuwadi ni maoni tu!!!!
we nawe unatakakulisha majirani wanao walale njaa,charity start at home!!!
 
sasa kwani DSM na Nbi ni mbali??? kwa wapendanao its a stone throw away... we nawe prophet of doom!

hehehehhehehe.........mambo ya weekend hayo! hata kwenye the same roof kunaweza kuwa mbali kuliko dar na nai...I reckon
 
Idimi,
kwa mfano mimi nina sifa zote hzo ulizozitaja,
Na kizuri zaidi nilikuwa natafuta rafiki wa kiume kwa muda mrefu tu,lakini kwa ajili ya uafrika asilia naona aibu kumuanza mwanaume kumuomba urafiki thanks umeanza.
Pungufu langu ni moja tu umri wangu mie ni miaka 30 na miezi sita.
kabla sijaandika PM sijui unaliona je hilo
mwanakwetu njoo huku mi sina masharti yoyote..
 
Nitawataarifuni hapa hapa katika jukwaa hili, naomba mvute subira nikamilishe "Memorandum of Understanding" pamoja na "Terms of Reference".
Pasi na shaka mtavuta subira.
teh teh kiongozi kila la kheri..nimependa mambo ya Term of Reference
 
Tangazo/ombi la huyu mkuu linatisha.Hakuna mtu atajibu maana haijulikani anamtaka kwa ajili gani.Isije ikawa anatafuta kwa ajili ya ritual sacrifices! Si mnajua uchaguzi unakaribia na watz kama kawaida wanapenda kuiga? Nigeria ndo zao hizi.
Be specific/more elaborate Sam!

Dont be surprised WoS

In this current life style, just expect the unexpected!!! Life is strange and desperate... waliopigiwa mbiu wameisoma
 
"Hivi nyie watu namna gani? Mnamuuliza anatafuta Mwanamke wa nini!! Hamjua kabisa Mwanamme akitafuta Mwanamke huwa ni wa kazi gani? Du!!! Mnanitia mashaka".



hii mi nimeipenda!
 
Kuwa wazi ndugu. Unatafuta mwanamke awe Mkeo?, au awe nyumab ndogo?, au awe House girl? au awe Mlinzi wako?
 
Kulingana na majibu yako kwa maswali ya Nasolwa nadhani utampata umtafutae kirahisi. Kama ni house girl agiza kijijini kwenu, kama mlinzi cheki na wamasai, kama mke pepesa macho kanisani, kazini kwako, classmates, sister zako au ndugu wanaweza kukuunganisha. Jiandae na wewe kumweleza binti what you will be bringing to the table.
 
Kulingana na majibu yako kwa maswali ya Nasolwa nadhani utampata umtafutae kirahisi. Kama ni house girl agiza kijijini kwenu, kama mlinzi cheki na wamasai, kama mke pepesa macho kanisani, kazini kwako, classmates, sister zako au ndugu wanaweza kukuunganisha. Jiandae na wewe kumweleza binti what you will be bringing to the table.

asee, wanawake wakuoa wanapatikana hapo?
 
Siyo hivyo tu,hofu nyingine ni pale anapotaka kuoa kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhan. Baada ya hapo anakurudisha mtaanii ukataabike.

Kuwa muwazi namna gani vipi nije mwenyewe.
 
Well kwa jina naitwa sam -- ni kijana mwenye umri wa miaka kati ya 25 na 30 mwenyeji wa mikoa ya kanda ya ziwa , mwili wangu ni wastani na rangi ya ngozi yangu ni kahawia - sijawahi kuowa wala kuolewa ( siku hizi wanaume wanaolewa ) - nimeajiriwa katika sekta binafsi mjini dar es salaam

napenda kujitokeza katika jukwaa hili kutafuta mwanamke ambaye hapo baadaye tunaweza kufanga nae pingu za maisha , awe mstaarabu , mwenye kuvutia , umri wake kuanzia miaka 23 mpaka 30 awe anafanya kazi au kajiajiri mwenyewe

mwisho napenda awe hajawahi kuwa katika ndoa yoyote ile -- mimi ndio niwe wakwanza nae


Hatari hiyo,tanzania au ulaya.....Sidhani km tanzania wapo wanaume wanaoolewa...
 
Back
Top Bottom