Natafuta Rafiki, Mchumba

Natafuta Rafiki, Mchumba

Naitwa Lucas naishi dar natafuta msichana ambaye atakuwa mchumba wangu, mwenye umri kati ya miaka 20-30 awe na heshima, mwaminifu, tabia zinazopendeza kwenye jamii, kwa upande wa dini sibagui dini wala kabila namba yangu 0713998604.Naomba awe tayari kupima HIV.Tafadhal naomba usibeep kama unaweza nipigie. Lucas
he!
Naitwa sam naishi dar natafuta mwanamke mwenye umri kati ya miaka 20-30 awe na heshima, mwaminifu, tabia zinazopendeza kwenye jamii, kwa upande wa dini sibagui digi wala kabila namba yangu 0713998604.Sammy
bangi zingine bana, zinabana akili
 
Naitwa Lucas naishi dar natafuta msichana ambaye atakuwa mchumba wangu, mwenye umri kati ya miaka 20-30 awe na heshima, mwaminifu, tabia zinazopendeza kwenye jamii, kwa upande wa dini sibagui dini wala kabila namba yangu 0713998604.Naomba awe tayari kupima HIV.Tafadhal naomba usibeep kama unaweza nipigie. Lucas

Mkuu naona umesha anza kutuona sisi mabwege, mala Samy mala Lucas vp tena? Umesahau unafikiri hapa ndo ze uchungu?
 
Msilipuke wazee..dogo anafanya mazoezi ya typing..anashangaa wadau mnakuja na lundo la uncertified ushauri ..lol
hehehehehe
ila mkuu unajua madhara ya mtoto kuchezea silaha iliyojaa risasi mbele ya kadamnasi?? kuriakti haraka ndo jibu sahihi
 
huyu dogo kapotea njia anajua hapa ndo ze uchungu.
 
hehehe
FIDEL naona huyu dogo Sam si riziki kabisa huyu
 
kweli niko sirias kabisaa. wadau hii imekaaje? natafuta binti awe anaanzia miaka 23 hadi 26 hivi, mkristu (akiwa Roman itakuwa bomba zaidi) elimu kidato cha nne na kuendelea. Labda wadau mnawafahamu mabinti waliotulia mnipe michongo walipo. Nawasikilizia.
 
nipo tayari rangi je au unene au unataka tulioslim kama Kelly01?mi mnene kidogo ila siyo mfupi
 
Eh..kumbe Chaku ni jinsia ya kike....nilikuwa sifaham! Kelly01 nadhani kajazia jazia kidogo....🙄
 
you have to maket ur self clear in order to convice those interested wadada.
 
Mkuu wapiga debe tupo hapa umeshindwa kutushilikisha hapo hupati mwali ng'o.
 
Mh mie hapa si bahati yangu maana anataka slim fit mie tipwa (ingawa spring chicken- just turned to 23 jana lol)ataniangalia kweli! Kila la kheri mziwanda wangoje kina naniliu wanakuja sasa hivi!
 
Wewe ni type ya ninao tafuta mimi sijui na mimi nitume maombi au unasemaje Mwana?
 
Back
Top Bottom