Natafuta rafiki/mume wa kumujari 39-43

Natafuta rafiki/mume wa kumujari 39-43

Nyanzura

Member
Joined
Jul 21, 2010
Posts
30
Reaction score
2
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi mi mwanamke mwenye umri wa miaka 35, elimu degree 2. Nimeajiliwa, dini mkristo. Mengine tutaelezana zaidi PM. Naamini Mungu anakutanisha watu sehemu tofauti na JF ni sehemu mojawapo. Kwa hiyo nami najitokeza kutafuta rafiki wa kumujari ambaye anaweza kuwa mume baadaye Mungu akipenda.

Rafiki/Mume nimtakaye:
1. Dini Mkristo
2. Age limit 39-43
2. Asiwe mlevi. Anaweza kuwa anakunywa lakini isiwe sana.
3. Asiwe anavuta sigara
4. Elimu kuanzia degree
5. Mwenye maisha yake kuweza kuwa na familia ili tuweze kusaidiana.
6. Urefu kuanzia 1.7m. Mi niko kati ya 1.6-1.7.

Kama uko interested na unamanisha unakaribishwa PM. Asanteni kwa kunisoma.

Update:
Naombeni msinitumie tena PM.
 
Una degree 2 ? Hebu tazama heading yako kwanza,kama degree za hivi elimu ya yangu ya darasa la 7 la mwalimu linanitosha sana
 
Masharti kibao kama anaenda mbingu. Huo urefu wa 1.7 m ndo ukoje? hebu angalia kigezo cha kunywa. Bora ungesema natafuta mchungaji. Nakutakia kila la heri. Unazaa?. mia
 
Ibarikiwe mama lakini kuwa mvumilivu na hizo comments zinazokuja
 
Masharti kibao kama anaenda mbingu. Huo urefu wa 1.7 m ndo ukoje? hebu angalia kigezo cha kunywa. Bora ungesema natafuta mchungaji. Nakutakia kila la heri. Unazaa?. mia
Umenichekeshajeee? Mimi ni mrefu so napenda kuwa na mtu anayenizidi urefu. Naamini hata wewe unavigezo vyako. Kunywa nimesema anaweza kuwa anakunywa lakini sio yule wa kunywa na kupoteza dira.
 
...duh! Sasa bi mkubwa huo umri na hivyo vigezo kama unaomba mkopo World Bank / IMF - kweli utafanikiwa?
 
unachagua sna nawe unashida alafu mashart kibao sema hapo elimu umechemka umri umesogea analafuo unaleta vya kuleta mume bora hutoka kwa mungu eti cjui awaje awaje
 
Tangazo lako liko poa naiman utapata mume ! ningeshauri sharti la urefu ulitoe mahsi halina tija maishani, nafahamu tatizo lako unataka ukiongozana nae iwe matching combination na ukipiga nae picha alafu ukazitupia fb kule macomments toka kwa wa dau yasiwe ya kuponda et mume ni emoro/andunje! ha haaa, urefu co ishu mama kwenye maisha na mapenzi ni yenu na familia yenu tu!
 
Asante Snail.
 
Na miaka 33,elimu darasa la 7,sina mke ila nna watoto 4 na pesa sina
 
Nimecheka hapo kwenye urefu hivi unajua sisi wabonge mpaka upime urefu labda unaumwa umeenda hosp?au kujaza form ya chuo?me hata cjui urefu wangu we kama mrefu nafikiri unatakiwa tu upate andunje ambaye hatakwambia "unanidharau kwa ajili ya ufupi wangu"
Kila la kheri watchout cornmen/women
 
Usisahau kutuletea mrejesho nyuma mchakato utakapokuwa umekamilika. Kumbuka kuzingatia vigezo na masharti.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi mi mwanamke mwenye umri wa miaka 35, elimu degree 2. Nimeajiliwa, dini mkristo. Mengine tutaelezana zaidi PM. Naamini Mungu anakutanisha watu sehemu tofauti na JF ni sehemu mojawapo. Kwa hiyo nami najitokeza kutafuta rafiki wa kumujari ambaye anaweza kuwa mume baadaye Mungu akipenda.

Rafiki/Mume nimtakaye:
1. Dini Mkristo
2. Age limit 39-43
2. Asiwe mlevi. Anaweza kuwa anakunywa lakini isiwe sana.
3. Asiwe anavuta sigara
4. Elimu kuanzia degree
5. Mwenye maisha yake kuweza kuwa na familia ili tuweze kusaidiana.
6. Urefu kuanzia 1.7m. Mi niko kati ya 1.6-1.7.

Kama uko interested na unamanisha unakaribishwa PM. Asanteni kwa kunisoma.[/QUOTE

Nyanzura=mwana wasu au?
 
Mwanaume mwenye degree, ana miaka 39-43, na ana maisha yake: huyu ni mume wa mtu tayari bz mtu wenye vigezo hv karibu wote walishaoa kitambo, na wewe unaweza kuwa nyumba ndogo au wakuchezewa....Nushauri utafute kianologia na si kidigitali tu kama ufanyavyo humu
 
Pamoja na digrii mbili bado una ndoto za mchana?Endelea kulala ili utimize ndoto zako.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi mi mwanamke mwenye umri wa miaka 35, elimu degree 2. Nimeajiliwa, dini mkristo. Mengine tutaelezana zaidi PM. Naamini Mungu anakutanisha watu sehemu tofauti na JF ni sehemu mojawapo. Kwa hiyo nami najitokeza kutafuta rafiki wa kumujari ambaye anaweza kuwa mume baadaye Mungu akipenda.

Rafiki/Mume nimtakaye:
1. Dini Mkristo
2. Age limit 39-43
2. Asiwe mlevi. Anaweza kuwa anakunywa lakini isiwe sana.
3. Asiwe anavuta sigara
4. Elimu kuanzia degree
5. Mwenye maisha yake kuweza kuwa na familia ili tuweze kusaidiana.
6. Urefu kuanzia 1.7m. Mi niko kati ya 1.6-1.7.

Kama uko interested na unamanisha unakaribishwa PM. Asanteni kwa kunisoma.[/QUOTE

Nyanzura=mwana wasu au?
Hapana sio. Unalifahamu hilo jina?
 
Hebu ni-PM unaweza kuwa rafiki yangu,maana umeandika rafiki/mume.Sawa@Nyanzura?
 
Back
Top Bottom