Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi mi mwanamke mwenye umri wa miaka 35, elimu degree 2. Nimeajiliwa, dini mkristo. Mengine tutaelezana zaidi PM. Naamini Mungu anakutanisha watu sehemu tofauti na JF ni sehemu mojawapo. Kwa hiyo nami najitokeza kutafuta rafiki wa kumujari ambaye anaweza kuwa mume baadaye Mungu akipenda.
Rafiki/Mume nimtakaye:
1. Dini Mkristo
2. Age limit 39-43
2. Asiwe mlevi. Anaweza kuwa anakunywa lakini isiwe sana.
3. Asiwe anavuta sigara
4. Elimu kuanzia degree
5. Mwenye maisha yake kuweza kuwa na familia ili tuweze kusaidiana.
6. Urefu kuanzia 1.7m. Mi niko kati ya 1.6-1.7.
Kama uko interested na unamanisha unakaribishwa PM. Asanteni kwa kunisoma.
Update:
Naombeni msinitumie tena PM.