beathahenry
Member
- Dec 18, 2013
- 47
- 60
Nimwanaume yupi miaka 40 ambaye bado hana mke
toxic bachelorsuyo wa miaka 40 atakudanganya tu kama hana mke
ahhhahaKama una 40 years utakuwa kwenye menopause stage
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 40 sijawahi kuolewa wala kuzaa.
Natafuta mwanaume ambae tayari ana watoto ila sio mume wa mtu tutasaidiana kulea awe na miaka kuanzia 40.
Najitegemea nina kwangu na nasaidia ndugu zangu wasiojiweza kulea watoto wao.
Wenye maswali na comments za kejeli mnakaribishwa pia.
Asanteni.