Natafuta rafiki mwanaume

Natafuta rafiki mwanaume

Mimi ni mwanamke mwenye miaka 40 sijawahi kuolewa wala kuzaa.

Natafuta mwanaume ambae tayari ana watoto ila sio mume wa mtu tutasaidiana kulea awe na miaka kuanzia 40.

Najitegemea nina kwangu na nasaidia ndugu zangu wasiojiweza kulea watoto wao.

Wenye maswali na comments za kejeli mnakaribishwa pia.

Asanteni.
Mi nina miaka 26 natafuta mke, nina degree ya sheria na advanced diploma ya legal practice ila sina kazi.
 
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 40 sijawahi kuolewa wala kuzaa.

Natafuta mwanaume ambae tayari ana watoto ila sio mume wa mtu tutasaidiana kulea awe na miaka kuanzia 40.

Najitegemea nina kwangu na nasaidia ndugu zangu wasiojiweza kulea watoto wao.

Wenye maswali na comments za kejeli mnakaribishwa pia.

Asanteni.
Habari!.
Uamzi wako ni mzuri na uko sahihi.
Waweza kumpata rafiki ukaanze naye mahusiano lakini ukapata maumivu ya machozi mbeleni kwa kuwa kuna mambo hayako sawa kwako.Umefungwa na umekuwa kama catalysit you affect much more than you be affected and sometime you affect without being affected(real catalysit).
Usikurupuke kuanza mahusiano yoyote bila kujitambua vema na kurekebisha.
 
Duuu.....! Nimeokota dodo chini ya mwembe! Nisubiri hapo hapo ulipo.
 
beathahenry,
Dah yaan umefunga pm na kufunga yaan. Umeshaharibu siku iliyoanza vema baada ya kuona hii thredi. Basi ww njoo pm yangu basi mm sijafunga!
 
Sawa kabisa dada umenipata mimi nina watoto watano ambao nimeachiwa na pacha wangu njoo tulee watoto usiangaike kutafuta mwingine nipo mimi tuwasiliane mapema leo ama kesho
 
Back
Top Bottom