Natafuta rafiki mwanaume

Habari? Ulishapata mwenza? Kama bado tuwasilianae
 
U must be virgin, unless otherwise ulichezea usichana na matokeo yake ndo hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umesha mpata? Kama bado ni Ebu njoo tuyajenge 0653920124
 
Unabikra kwanza?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikweli waweza ukawa unawasaidia ndugu zako ila jambo hilo huwa siyo sahihi kulisema mbele za watu labda niseme ni private baina yako wewe na mungu wako nimekufahamisha hili jambo tu ndugu yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema unatafuta rafiki mwanaume,Kisha umesema hata Kama ana watoto sawa.kua mtasaidiana kulea.

Kwa hiyo Dada wewe unatafuta mme au rafiki?
We'll vizuri hapo.
Kama hutanii poa I'll wanaokukejeli wasijione Wana akili,dunia hi Ina Mambo mengi sana na mengi sana watu hawajayajua.
 
Karibu pm tuyajenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…