Natafuta rafiki mwanaume

ohh niko hapa kwaajili yako nina 40 na watoto 2 pls nitumie msg hapa tuongee 0654991515
Watu mnapenda miteremko, yaani unaweka na namba kabisa?!

Subiri utekwe ndio akili zikae sawa!.
 
Nina 25 ila naona nimechelewa pata mtoto nyie yanawakuta nn hadi mnafika 40 bila mtoto? Mungu aniongoze
 
Una matatizo yoyote ya kiafya au uzazi? Usinielewe vibaya, nimeuliza kiudadisi.
 

Imekuaje mpaka ufikie umri wa miaka 40 ukose mtoto? Kuhusu mume, hilo sishangai. Au una changamoto za uzazi? Kama ni hivyo, pole sana! na ujipe moyo ya kwamba ipo siku Mungu atakujalia.
 
Tuwasiliane kwa pm
 
k.

Tuwasiliane namba 0654 317 732
Nipo Kilimanjaro.o
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…