Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

Yaani uliosoma nao wote hujaona, wa mtaani kwako wote hujaona??
 
Baba yeyoo namuelewa
Hahhaha hivi Baba yeyoo unamuelewa kweli dada unakumbuka talaka aliyotoa jukwaani halafu sasa hivi na yeye member wa uzi wa usiku wa manane na mabebez anao kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…