Unakunywa soda gani shemeji!Hivi urafiki unaombwa? Nnachofaham unatokea kutokana na kuendana hulka, mitazamo, vitabu mnavyosoma, nyimbo mnazosikiliza, tabia, mazungumzo n.k.
Naweza nikakuomba urafiki na ukanikubalia lakini tukajikuta tunapokua pamoja hatufurahii maongezi wala hakuna kitu tunafanya kikatufurahisha wote, inakuwa kama kulazimisha muda uende ili kila mtu aendelee na mambo yake.
Cheka huku ukiwa unafanya maamuzi sasa...Nimecheka kwa sauti....
MuoneNaanza kuona dalili ya kupigwa chini mapema...
Na hivi huko PM wameshajazana vijana wenzio, babu nshaula wa chuya...
Sabalakheri mpenzi, waonaje khali yako?Khaaaa
Unakunywa soda gani shemeji!
Mtoto wa kike ukitaka marafiki wa kiume kwa mda mfupi jikeep busy namambo ya sports tu..utapata marafiki wengi sana na waliopevuka sana kifikra
kamooMuone
Endelea na urafiki wako hukoSabalakheri mpenzi, waonaje khali yako?
Wawaonaje wazazi, nyumbani utokeapo?Endelea na urafiki wako huko
Kwani we umefikisha 40!?Umepata?
Urafiki unaombwa.... hata enzi hizo kulikuwa na urafiki wa kalamu. Ndio maana nimeandika vigezo. Ikitokea tumeelewana urafiki unaendelea; tofauti na hivyo unakufa kimya kimya
HahahaAhsante.. Sprite tu japo natamani balimi au Bombadier ndogo.
Endelea na urafiki wako huko
Umevuruga jioni yangu!kamoo
Jirani hata mkwanja wa udalali nao unipite??[emoji15] [emoji15]Kwani we umefikisha 40!?
Usijali, ntaitakasa kwa mahabat mujarab...Umevuruga jioni yangu!
Sijawaona badoWawaonaje wazazi, nyumbani utokeapo?