Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

Hivi urafiki unaombwa? Nnachofaham unatokea kutokana na kuendana hulka, mitazamo, vitabu mnavyosoma, nyimbo mnazosikiliza, tabia, mazungumzo n.k.

Naweza nikakuomba urafiki na ukanikubalia lakini tukajikuta tunapokua pamoja hatufurahii maongezi wala hakuna kitu tunafanya kikatufurahisha wote, inakuwa kama kulazimisha muda uende ili kila mtu aendelee na mambo yake.
Unakunywa soda gani shemeji!
 
Mtoto wa kike ukitaka marafiki wa kiume kwa mda mfupi jikeep busy namambo ya sports tu..utapata marafiki wengi sana na waliopevuka sana kifikra
 
Back
Top Bottom