Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Unakunywa soda gani shemeji!Hivi urafiki unaombwa? Nnachofaham unatokea kutokana na kuendana hulka, mitazamo, vitabu mnavyosoma, nyimbo mnazosikiliza, tabia, mazungumzo n.k.
Naweza nikakuomba urafiki na ukanikubalia lakini tukajikuta tunapokua pamoja hatufurahii maongezi wala hakuna kitu tunafanya kikatufurahisha wote, inakuwa kama kulazimisha muda uende ili kila mtu aendelee na mambo yake.