Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

Sjaolewa na sifikirii kuolewa maana nina maisha yangu tayari.

Kwa hiyo walioolewa hawana maisha yao?

Hayo maelezo hapo juu yanaonesha wewe una madarasa ya kutosha lakini hujaelimika kiasi cha kujikomboa kifkra.
 

Nimekuelewa. Ila mimi ninamaanisha tutabaki marafiki tu. Ndio maana sijali hata kama ameoa au ana mpenzi kwa sababu sifikiriii kuwa na mpenzi, nina mbinu zote za kunifanya nisiangukie mapenzini hivyo haitatokea. Nahitaji rafiki tu.
 
Hiyo inaitwa rafiki mpenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…