Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Wewe ni rafiki yangu sana tuu!! Sasa sijui kwa nini mleta mada anawaita pmMie huwa naendana na mazingira yalivyo, nna marafiki wa rika tofauti tofauti na kaliba mbali mbali kutokana na mazingira. Kwani wewe sio rafiki yangu?