Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

Hahaha
Ndo huyooo!! Ila urafiki wenu nauamini!!!

Kwakweli urafiki wangu na Shunie wa sasa hivi ni wa afya sana, hauna maumivu. Akitaka kwenda kwenye foleni zake namwambia tu , nenda rafiki ila uwe mwangalifu. I will be there when you need someone to talk to. Sina wivu tena kwa sababu we are just friends. Imebaki tu jina Baba Yeyoo na Mama Yeyoo.
 
Jamani
Umeongea kwa hisia sana!!
 
Hakuna urafiki wa hivyoo.. Usitake kuvunjaa ndoa za watua....! Me ni kijana natafuta rafiki wa umri wakooo...[HASHTAG]#kiben10[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom